Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
🤣I will be short.
club world cup updated points ni points za caf champions league tu.
in short team za caf confederation cup hazipo.
hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup.
View attachment 3378310View attachment 3378311
Wanaangalia timu iliofanya vizuri miaka mi nne ilio pita kwaio sisi kama simba na YANGA tutulize mshono tu coz huu mwaka 2025 timu zetu azijafanya vizuri uko atuwezi kwenda Yanga kaishia makundi simba ajacheza kabisaSource ya mchongo.
Hilo kombe la FIFA club world cup linachezwa kila baada ya miaka minne, how sure kuwa Simba Sc haitashiriki mwaka 2029 huko.
Kabisa. Upo sahihi, hizo points za kubumba zinasaidia nini hapo juu huu mwaka 2025 kama sio kujifariji na hesabu za kichwani!Wanaangalia timu iliofanya vizuri miaka mi nne ilio pita kwaio sisi kama simba na YANGA tutulize mshono tu coz huu mwaka 2025 timu zetu azijafanya vizuri uko atuwezi kwenda Yanga kaishia makundi simba ajacheza kabisa
izoo point zilizo andikwa apo ni zile point ambazo mtu alizikusanya kuanzia hatua ya mtoano wa awali akapita akaja mtoano wa pili akapita akaja makundi akaja robo akaja nusu kaja final yenyewe ndio izo point unaona apo zimeandikwa kwaio YANGA anapoint 11 tu huu mwaka 2025 kwasababu aliishia makundi na simba humuoni apo kwasababu akucheza klabu bingwa amecheza shilikishoKabisa. Upo sahihi, hizo points za kubumba zinasaidia nini hapo juu huu mwaka 2025 kama sio kujifariji na hesabu za kichwani!
Kaka izii ni lank za world cup sio lank za CAF izii ni lank kwaajili ya world cup 2029 ingikua lank za CAF sawa makolo wapo nafasi ya 4 lkn izii sio lank za CAF ninza FIFA izoo kwenda ukoo lazima ujioange vizuriUtopolo hizi nafasi za Simba zinawauma sana..kwa kuishia makundi vile mtazisikia tu kwenye mitandao
Nimekuelewa vema, kwa hiyo watakuwa wana-post kila mwaka kwa washiriki wa CAF champions league ili ikifika mwaka 2029 zile timu 5 zenye point nyingi zaidi zishiriki FIFA CLUB WORLD CUP. Nimekupataizoo point zilizo andikwa apo ni zile point ambazo mtu alizikusanya kuanzia hatua ya mtoano wa awali akapita akaja mtoano wa pili akapita akaja makundi akaja robo akaja nusu kaja final yenyewe ndio izo point unaona apo zimeandikwa kwaio YANGA anapoint 11 tu huu mwaka 2025 kwasababu aliishia makundi na simba humuoni apo kwasababu akucheza klabu bingwa amecheza shilikisho
Basi kwa kutumia common sense tu ni kwamba kila mwaka watazihesabu points na hatimaye kukaribia 2029 watawachukua walio na points nyingi na si eti points za 2025 ndio zitatumika kuamua mashindano ya 2029.izoo point zilizo andikwa apo ni zile point ambazo mtu alizikusanya kuanzia hatua ya mtoano wa awali akapita akaja mtoano wa pili akapita akaja makundi akaja robo akaja nusu kaja final yenyewe ndio izo point unaona apo zimeandikwa kwaio YANGA anapoint 11 tu huu mwaka 2025 kwasababu aliishia makundi na simba humuoni apo kwasababu akucheza klabu bingwa amecheza shilikisho
Hapana sio kila mwaka hao wanne walio fanya vizuri mwaka huu ndio watakao kwenda kushiliki io 2029 kwaio sisi kama YANGA na SIMBA tujipange tufanye vizuri mwaka 2029 ilii tukashiliki mwaka 2033 wanacho angalia myaka nne ilio pita timu gan zilifanya vizuri ndii zinakwenda kwaio walio fanya vizuri 2025 watacheza 2029 watakao fanya vizuri 2029 watacheza 2033 io world cupNimekuelewa vema, kwa hiyo watakuwa wana-post kila mwaka kwa washiriki wa CAF champions league ili ikifika mwaka 2029 zile timu 5 zenye point nyingi zaidi zishiriki FIFA CLUB WORLD CUP. Nimekupata