point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

Usiseme point mpya, sema criteria nyingine. By the way CAF inatumia utaratibu wa 5-year ranking kwa masualayake yote yanayohusu vilabu. Hizo kampuni nyingine zina criteria zao, sio ajabu kuona Yanga ikawa juu ya Al Ahly ya Misri 😀

So far, ranking inayotumiwa na CAF inasimama hivi:

View attachment 3378619
Anachoongelea huyo ni FIFA ranking sio CAF ranking. FIFA wana ranking yao tofauti na ya CAF kwa mashindano ya vilabu.
 
Anachoongelea huyo ni FIFA ranking sio CAF ranking. FIFA wana ranking yao tofauti na ya CAF kwa mashindano ya vilabu.
Labda kama ndio list itakayokuwa ikitumika katika michuano ya vilabu ya FIFA katika michakato ya kuzipata timu, lakini CAF tayari wanayo inayotumika katika michuano yake
 
Mashindano ya CAF Shirikisho hayatumiki katika kuhesabu point za kwenda Club World Cup.

Kwa kuwa msimu huu ni wa kwanza katika ile minne itakayotumika kutafuta washiriki wa Club World Cup 2029 ndiyo maana Simba haipo pamoja na kwamba imekwenda hadi fainali ya CAFCC.

Ukweli ni kwamba mpaka sasa Simba haina point hata moja ya kuipeleka mashindano hayo kwa sababu msimu huu haijashiriki katika mashindano ya CAFCL yanayotumika kuhesabu point hizo za kufuzu.
How comes Mamelod Sundowns aliyecheza fainali alingane points na Orlando pirates aliyeishia nusu fainali au hizo hatua ni sawa?
 
How comes Mamelod Sundowns aliyecheza fainali alingane points na Orlando pirates aliyeishia nusu fainali au hizo hatua ni sawa?
Kwenye ranking ya Club World Cup, kila win ni 3 points, draw ni 1 point na kila hatua unayovuka ni point 3.

Kuanzia group stage hadi walipoishia, Mamelodi walipata win 2, draw 7 na wakafika fainali wakati Orlando walipata win 5, draw 4 na wakaishia nusu fainali.

Kwa hiyo Mamelodi ana points 22 wakati Orlando ana points 25.

Hizo takwimu alizoleta mleta mada hazipo sahihi, Yanga wana points 8 na siyo 11. Onaonyesha waliotengeneza hiyo list wamezipa hizo timu point 3 kwa kuingia group stage ila sidhani kama FIFA wanafanya hivyo.
 
Matatizo ya afya ya akili .....
Upo "obsessed" Sana kuhusu Simba Sc....nyuzi zako zote huwa vs Simba .....🚮🚮🚮🚮
 
How comes Mamelod Sundowns aliyecheza fainali alingane points na Orlando pirates aliyeishia nusu fainali au hizo hatua ni sawa?
Orlando Pirates kashinda mechi 5 sawa na point 15
Katoa sare mechi 4 sawa na point 4
Kafuzu hatua tatu ( makundi, robo na nusu) sawa na point 9
Ukijumlisha 15 +4+9= 28

Mamelodi
Kashinda mechi 3 sawa na point 9
Sare 7 sawa na point 7
Kafuzu hatua 4 sawa na point 12
9+7+12=28
 
Kwenye ranking ya Club World Cup, kila win ni 3 points, draw ni 1 point na kila hatua unayovuka ni point 3.

Kuanzia group stage hadi walipoishia, Mamelodi walipata win 2, draw 7 na wakafika fainali wakati Orlando walipata win 5, draw 4 na wakaishia nusu fainali.

Kwa hiyo Mamelodi ana points 22 wakati Orlando ana points 25.

Hizo takwimu alizoleta mleta mada hazipo sahihi, Yanga wana points 8 na siyo 11.
Takwimu zipo sahihi
Point 8 za Yanga, jumlisha point 3 za kufuzu kuingia group stage unapata 11
 
I will be short.

club world cup updated points ni points za caf champions league tu.

in short team za caf confederation cup hazipo.
hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup.

EVIDENCE LINK HII HAPA :

View attachment 3378310View attachment 3378311
aliyesema mashabiki wa simba na yanga ni wajinga alikua sahihi,
timu zinazofuzu kwenda FIFA CWC kwa Afrika huwa ni 4 ambazo ni mabingwa wa CL kwa miaka 4 iliyopita.

hii ina maana kwa Afrika CWC 2029, watashiriki bingwa wa msimu wa 24/25, 25/26, 26/27, na 27/28, ambayo tayari Pyramids amekata ticket hiyo!

incase timu moja ikatwaa ubingwa zaidi ya mara moja, basi high ranking team ambayo haijafuzu ndio itachukua nafasi
 
yes. the ranking are counted according to caf champions league winning ony. incase there are same winners in caf champions league
 
Back
Top Bottom