point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

Sidhani kama mambo yapo hivyo, yaani washiriki wachukuliwe leo halafu kushiriki ni 2029. Kipindi hicho hizo timu unaweza kukuta zimeshapoteana. Sina uhakika sana na hii taarifa yako, ngoja nifanye utafiti.
 
Uko sahihi kaka lakin kaa ukijua kila kitu kina strength na weakness zake lakin hapa mimi nakwambia vigazo vyao wanavyo viangalia wao atuwezi kutumia common sense kama unavyosema wewe akat wao washaweka wazi vigezo vyao labda wafanye reforms lkn bila ivyo icho ndio kigezo chao wewe kwenda kucheza kule wanaangalia myaka nne ilio pita timu gani ilifanya vizuri
 
Sidhani kama mambo yapo hivyo, yaani washiriki wachukuliwe leo halafu kushiriki ni 2029. Kipindi hicho hizo timu unaweza kukuta zimeshapoteana. Sina uhakika sana na hii taarifa yako, ngoja nifanye utafiti.
Point ya msingi ni wewe kwenda kusoma vigezo ujionee
 
Ndio point yangu...So 2025 watahesabu,2026,2027 labda na 2028 then wataangalia mwenye pointi nyingi ataenda kupambana na wakubwa wenzake/
 
The 2029 FIFA Club World Cup will be the 22nd edition of the FIFA Club World Cup, an international club football competition organised by FIFA. The tournament is scheduled to be played from June and July 2029. It is planned to be the second under an expanded format with 48 teams, including the winners of the four previous continental championships.[1]

Hapo inamaanisha wale mabingwa wa miaka minne mfululizo watakuwa wameshakata tiketi ya kushiriki. Mfano mpaka sasa Afrika ni Pyramids pekee imekata tiketi ya kushiriki, inategemea na mabigwa wengine watatu wa 2025/26, 2026/27 2027/28 kama atakuwa ni huyo huyo wanachukuwa na wale finalists kwa kila bara.

Ili Simba au Yanga washiriki wahakikishe wanachukua kikombe cha Afrika CAF champions league au at least wanafika fainali sio bla bla za kukusanya point na kuishia makundi au robo fainali.
 
Tofauti nikwamba izii ni Lank za FIFA na izoo unazosemea wewe ni Lank za CAF kwaio FIFA wanautaratibu wao na CAF. Wanautaratibu wao kulingana na ligi inayokwenda kuchezwa ligi ya FIFA inavigezo vyake ili wewe ukacheze na CUF inavigezo vyake ili wewe ukacheze ivyo uwezi tumia LANK za CAF kwenye FIFA kaka
 
Upo sahihi nimeshaweka maelezo hapo juu ya kushiriki hilo kombe. Ndio maana unaona washiriki wa sasa hivi kutoka Afrika ni ama alichukua kombe au alifika fainali. misimu kama mitatu iliyopita.

Hakuna ujanja ujanja ama uchukue kombe la CAF champions league au walau ufike fainali ndio unaweza kushiriki hilo kombe na si vinginevyo. Ukiwa unaishira robo au makundi sahau kushiriki FIFA CLUB WORLD CUP.
 
Ndio point yangu...So 2025 watahesabu,2026,2027 labda na 2028 then wataangalia mwenye pointi nyingi ataenda kupambana na wakubwa wenzake/
Haipo ivyo kaka we ujiulizi kuna timu kubwa ngapi azijaenda kule kuna liverpool kuna barcelona kuna Arsrnal we ujiulizi kwanini araf kuna timu kama za akina chelsea atretical dotmund zimeenda na ubovu wao nikwasababu zilifanya vizuri myaka mnne ilio pita icho ndio kigezo chao nenda kasone vigezo vyao awachukui point za kila mwaka
 
Bado Simba na Yanga zina nafasi ya kushiriki kama zitachukua kombe au walau kufika fainali mara nyingi kwa misimu mitatu ijayo.

The 2029 FIFA Club World Cup will be the 22nd edition of the FIFA Club World Cup, an international club football competition organised by FIFA. The tournament is scheduled to be played from June and July 2029. It is planned to be the second under an expanded format with 48 teams, including the winners of the four previous continental championships.[1]
 
Sahihi kaka inawezakana labda io wanetumia kwasababu ni msimu wa kwanza lkn misiimu inayofuata waakaangalia kwa kukusanya point kila myaka mkuu nimekuelewa piint yako vyema
 
Lakin pia kaka hii ligi ningumu kwa sisi kwasababu waarabu wapo financial fit sanaa atutaweza kukompit mbele yao labda tutumie mbinu za wabrazili kuzalisha vipajivyetu kwa wingi lkn kwa kusajili awa free agent kutoboa kwetu nikugumu sanaa
 
point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10
Usiseme point mpya, sema criteria nyingine. By the way CAF inatumia utaratibu wa 5-year ranking kwa masualayake yote yanayohusu vilabu. Hizo kampuni nyingine zina criteria zao, sio ajabu kuona Yanga ikawa juu ya Al Ahly ya Misri 😀

So far, ranking inayotumiwa na CAF inasimama hivi:

 
wameangalia miaka minne mfululizo nyuma barcelona tulikuwa na matokeo mabov kweny uefa,chelsea kafanya vizur kumzid liver kwa kubeba uefa,dortmund kafika fainali ya uefa msimu uliopita
 
Wanaangalia timu iliofanya vizuri miaka mi nne ilio pita kwaio sisi kama simba na YANGA tutulize mshono tu coz huu mwaka 2025 timu zetu azijafanya vizuri uko atuwezi kwenda Yanga kaishia makundi simba ajacheza kabisa

Kabisa. Upo sahihi, hizo points za kubumba zinasaidia nini hapo juu huu mwaka 2025 kama sio kujifariji na hesabu za kichwani!


Nimekuelewa vema, kwa hiyo watakuwa wana-post kila mwaka kwa washiriki wa CAF champions league ili ikifika mwaka 2029 zile timu 5 zenye point nyingi zaidi zishiriki FIFA CLUB WORLD CUP. Nimekupata



Sidhani kama mambo yapo hivyo, yaani washiriki wachukuliwe leo halafu kushiriki ni 2029. Kipindi hicho hizo timu unaweza kukuta zimeshapoteana. Sina uhakika sana na hii taarifa yako, ngoja nifanye utafiti.
FIFA wanaanza kuangalia hatua ya makundi tu. Pia wanaangalia miaka minne MFULULIZO na siyo takwimu za mwaka huu peke yake, yaani kwa lugha nyingine hizi point zinajikusanya kwa miaka 4 mfululizo hadi Club World Cup ijayo.

Kama kila mwaka bingwa ni tofauti hizi ranking zao hazitumiki na wawakilishi watakuwa ni wale mabingwa wanne ila zinatumika pale bingwa anapokuwa amejirudia ndani ya ile miaka minne. Mfano mwaka huu Mamelodi na Esperance wameenda huko kwa kutumia nafasi zao kwenye ranking kwa sababu katika hii miaka 4 iliyopita Al Ahly amechukua ubingwa mara tatu, kwa hiyo kupata wawakilishi wengine ndiyo wanarudi kwenye ranking.

Kufika fainali tu haitoshi na siyo kigezo kabisa.
 
Naona mnajifariji simba inajulikana bila kujipendekeza sio raisi kila saa anajipeleka kwenye shughuli ambazo hamjaalikwa.
 
Rank sio lank
Kaka izii ni lank za world cup sio lank za CAF izii ni lank kwaajili ya world cup 2029 ingikua lank za CAF sawa makolo wapo nafasi ya 4 lkn izii sio lank za CAF ninza FIFA izoo kwenda ukoo lazima ujioange vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…