point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

Anachoongelea huyo ni FIFA ranking sio CAF ranking. FIFA wana ranking yao tofauti na ya CAF kwa mashindano ya vilabu.
 
Anachoongelea huyo ni FIFA ranking sio CAF ranking. FIFA wana ranking yao tofauti na ya CAF kwa mashindano ya vilabu.
Labda kama ndio list itakayokuwa ikitumika katika michuano ya vilabu ya FIFA katika michakato ya kuzipata timu, lakini CAF tayari wanayo inayotumika katika michuano yake
 
How comes Mamelod Sundowns aliyecheza fainali alingane points na Orlando pirates aliyeishia nusu fainali au hizo hatua ni sawa?
 
How comes Mamelod Sundowns aliyecheza fainali alingane points na Orlando pirates aliyeishia nusu fainali au hizo hatua ni sawa?
Kwenye ranking ya Club World Cup, kila win ni 3 points, draw ni 1 point na kila hatua unayovuka ni point 3.

Kuanzia group stage hadi walipoishia, Mamelodi walipata win 2, draw 7 na wakafika fainali wakati Orlando walipata win 5, draw 4 na wakaishia nusu fainali.

Kwa hiyo Mamelodi ana points 22 wakati Orlando ana points 25.

Hizo takwimu alizoleta mleta mada hazipo sahihi, Yanga wana points 8 na siyo 11. Onaonyesha waliotengeneza hiyo list wamezipa hizo timu point 3 kwa kuingia group stage ila sidhani kama FIFA wanafanya hivyo.
 
Matatizo ya afya ya akili .....
Upo "obsessed" Sana kuhusu Simba Sc....nyuzi zako zote huwa vs Simba .....๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
How comes Mamelod Sundowns aliyecheza fainali alingane points na Orlando pirates aliyeishia nusu fainali au hizo hatua ni sawa?
Orlando Pirates kashinda mechi 5 sawa na point 15
Katoa sare mechi 4 sawa na point 4
Kafuzu hatua tatu ( makundi, robo na nusu) sawa na point 9
Ukijumlisha 15 +4+9= 28

Mamelodi
Kashinda mechi 3 sawa na point 9
Sare 7 sawa na point 7
Kafuzu hatua 4 sawa na point 12
9+7+12=28
 
Takwimu zipo sahihi
Point 8 za Yanga, jumlisha point 3 za kufuzu kuingia group stage unapata 11
 
Matatizo ya afya ya akili .....
Upo "obsessed" Sana kuhusu Simba Sc....nyuzi zako zote huwa vs Simba .....๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
akili huna , soma thread zangu
 
aliyesema mashabiki wa simba na yanga ni wajinga alikua sahihi,
timu zinazofuzu kwenda FIFA CWC kwa Afrika huwa ni 4 ambazo ni mabingwa wa CL kwa miaka 4 iliyopita.

hii ina maana kwa Afrika CWC 2029, watashiriki bingwa wa msimu wa 24/25, 25/26, 26/27, na 27/28, ambayo tayari Pyramids amekata ticket hiyo!

incase timu moja ikatwaa ubingwa zaidi ya mara moja, basi high ranking team ambayo haijafuzu ndio itachukua nafasi
 
yes. the ranking are counted according to caf champions league winning ony. incase there are same winners in caf champions league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ