Pointi 10 Katika Ujenzi, Makosa katika Ujenzi

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .

1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
  • Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
  • Ardhi yenye mfinyanzi mkali
  • Mteremko mkali
  • Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
  • Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
  • Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
  • Hifadhi za Reli
  • Maeneo ya wazi,Makaburi
  • Hifadhi za Misitu na Mbuga
2.RAMANI BATILI
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
  • Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
  • Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
  • Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
3.KUTOKUWA NA BAJETI
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
  • Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
  • Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
  • Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
  • Mchanga wenye chumvi
  • Simenti ya kiwango duni
  • Tofali za bei chee
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
  • Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
  • Slab za zege kunepa
  • Nguzo kulala
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora

6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
  • Matofali huongezeka uzito
  • Mortar ni ngumu kukauka
  • Zege litakuwa na maji mengi
  • Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
7.UBAHIRI
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
  • Atatumia fundi uchwala
  • Atanunua matilio feki
  • Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
  • Miti husababisha nyufa
  • Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
  • Miti husababisha unyevu katika kuta
  • Miti huzuia upepo
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.

9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
  • Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
  • Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
  • Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
  • Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
  • Tumia mafundi bora na matilio bora
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
 
images (45).jpeg

images (44).jpeg
images (47).jpeg
images (46).jpeg

Hapo ni katabya Kawe ,mtaa wa Makao mapya na mji mpya...Nyumba zimejengwa kwenye Kingo za mto Mbezi na nyengine zimejengwa kwenye bonde la mto.
 
images (43).jpeg
images (42).jpeg
images (41).jpeg

Hizo Ramani nimezipakua mtandaoni, kwa muonekano ni nzuri...lakini
  • Ni kwa ajili ya apartments tena ghorofa
  • Utaona hazina uzingatiaji wa privacy,
  • Madirisha yapo upande mmoja au pande mbili tu.
Ukichukua nakuzitumia kwenye ujenzi,utaingia hasara
 
images (48).jpeg
images (49).jpeg

Majengo yaliyojengwa kwenye hifadhi ya Barabara ya Morogoro (Kimara) yakibomolewa,ili kupisha upanuzi wa barabara.
 
MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .

1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
  • Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
  • Ardhi yenye mfinyanzi mkali
  • Mteremko mkali
  • Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
  • Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
  • Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
  • Hifadhi za Reli
  • Maeneo ya wazi,Makaburi
  • Hifadhi za Misitu na Mbuga
2.RAMANI BATILI
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
  • Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
  • Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
  • Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
3.KUTOKUWA NA BAJETI
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
  • Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
  • Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
  • Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
  • Mchanga wenye chumvi
  • Simenti ya kiwango duni
  • Tofali za bei chee
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
  • Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
  • Slab za zege kunepa
  • Nguzo kulala
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora

6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
  • Matofali huongezeka uzito
  • Mortar ni ngumu kukauka
  • Zege litakuwa na maji mengi
  • Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
7.UBAHIRI
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
  • Atatumia fundi uchwala
  • Atanunua matilio feki
  • Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
  • Miti husababisha nyufa
  • Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
  • Miti husababisha unyevu katika kuta
  • Miti huzuia upepo
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.

9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
  • Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
  • Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
  • Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
  • Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
  • Tumia mafundi bora na matilio bora
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
Nyingine
*Kutozingatia muundo wa jengo la jirani
Mfano dirisha la bedroom kutizama upande kilipo choo cha nyumba ya jirani.

*kutozingatia uelekeo wa upepo na miale ya jua,uzamaji wake na uchwaji wake,chumba cha kulala hakipaswi kuwekwa upande linapochomozea jua,na choo hakipaswi kiwékww upande wenye strong wind,harufu inaweza kuzagaa hadi jikoni
 
Hapo ndipo nafasi ya Msanifu majengo/Architect inapokuja.....
 
MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .

1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
  • Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
  • Ardhi yenye mfinyanzi mkali
  • Mteremko mkali
  • Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
  • Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
  • Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
  • Hifadhi za Reli
  • Maeneo ya wazi,Makaburi
  • Hifadhi za Misitu na Mbuga
2.RAMANI BATILI
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
  • Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
  • Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
  • Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
3.KUTOKUWA NA BAJETI
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
  • Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
  • Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
  • Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
  • Mchanga wenye chumvi
  • Simenti ya kiwango duni
  • Tofali za bei chee
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
  • Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
  • Slab za zege kunepa
  • Nguzo kulala
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora

6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
  • Matofali huongezeka uzito
  • Mortar ni ngumu kukauka
  • Zege litakuwa na maji mengi
  • Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
7.UBAHIRI
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
  • Atatumia fundi uchwala
  • Atanunua matilio feki
  • Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
  • Miti husababisha nyufa
  • Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
  • Miti husababisha unyevu katika kuta
  • Miti huzuia upepo
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.

9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
  • Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
  • Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
  • Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
  • Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
  • Tumia mafundi bora na matilio bora
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
Asante mkuu. Naomba kuuliza, kwa kawaida chumba cha jiko kinatakiwa kuwa na ukubwa gani kwa wastani? Yaani meter au foot ngapi kwa ngapi.
 
Moja ya maswali magumu kujibu huwa ni aya...
Hapa hutegemeana na
1. Kiwango cha Ukwasi..
  • Kwa matajiri:mita 4 kwa mita 5
  • Kwa uwezo wa kati: mita 3 kwa 2
  • Kwa uwezo wa chini: mita 2 kwa 2
2.Ukubwa wa familia
  • Nyumba ya kukaa familia ya watu wa4 na kuendele:mita 3 kwa 3
  • Nyumba ya Kijana single: mita 2 kwa 2
3.Kutegemea na jamii:Kuna jamii mapishi mazuri kwao ndiyo kila kitu ,kanakwamba chumba cha jiko hupewa kipaumbele ila kuna jamii hata hawana mda...unakuta hata chumba cha jiko hakuna
 
MAKALA YA 10
Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .

1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
  • Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
  • Ardhi yenye mfinyanzi mkali
  • Mteremko mkali
  • Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
  • Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
  • Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
  • Hifadhi za Reli
  • Maeneo ya wazi,Makaburi
  • Hifadhi za Misitu na Mbuga
2.RAMANI BATILI
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
  • Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
  • Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
  • Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
3.KUTOKUWA NA BAJETI
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
  • Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
  • Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
  • Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
  • Mchanga wenye chumvi
  • Simenti ya kiwango duni
  • Tofali za bei chee
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
  • Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
  • Slab za zege kunepa
  • Nguzo kulala
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora

6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
  • Matofali huongezeka uzito
  • Mortar ni ngumu kukauka
  • Zege litakuwa na maji mengi
  • Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
7.UBAHIRI
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
  • Atatumia fundi uchwala
  • Atanunua matilio feki
  • Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
  • Miti husababisha nyufa
  • Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
  • Miti husababisha unyevu katika kuta
  • Miti huzuia upepo
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.

9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
  • Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
  • Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
  • Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
  • Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
  • Tumia mafundi bora na matilio bora
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
Watu hujenga kipindi cha mvua wakidhani wanapata 'lift' ya mvua kumwagilia kuta, kumbe pia ni kuzidisha majanga!
 
Mvua ,,,ikiambatana na high humidity...ni worst enemy to construction.
 
70% ya Oxygen inatoka baharini, inazalishwa na planktons,,,inasukumwa nchi kavu na upepo.
20% hutoka kwenye Misitu minene...Amazon,Congo,Siberia....
Kwani huo upepo ni hewa gani? Au mimi ndio sijaelewa
 
Back
Top Bottom