Hahahaa pilao linapoa.Hivi kumbe,[emoji23][emoji23][emoji23]basi hii nimeshashindwa.
Maana nilitegemea niandike pembeni kisha niingize.
Acha nikale pilao tuu.
Mzee wa microsoft amekimbiya..!!
Mke kamuambia acha kutapanya mali
Hivi kumbe,[emoji23][emoji23][emoji23]basi hii nimeshashindwa.
Maana nilitegemea niandike pembeni kisha niingize.
Acha nikale pilao tuu.
Hahahaaa,mana hapa niliwahi kuwa bingwa wa kuandika imla,yan ningepita nayo kama fisi na mzoga,hasa hiyo airtell
Subiri tuone hunishindi mimi mzee egelezea
[emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Pokea mkono wa Iddi mkuu.
View attachment 1118622
Mimi voda au TTCL mkuu.Airtel tayari iko updated pale juu,
cute b
Hahaha
Airtel tayari iko updated pale juu,
cute b
Umeona mzigo wa eatel? Pita nao
Nimeaamba nazo zote km Steven garincha mapundaWahuni sio watu wazuri,washapita na airtel
Ahsante mkuu airtel nimepita nazo zote
Mungu akupe zaidi
Dah wameiwahi.... Namshauri aliyetumia hii vocha airejeshe kwakuwa taarifa zake zinasoma VodaPokea mkono wa Iddi mkuu.
View attachment 1118622