Pokea mkono wa Iddi.

Pokea mkono wa Iddi.

Hivi kumbe,[emoji23][emoji23][emoji23]basi hii nimeshashindwa.
Maana nilitegemea niandike pembeni kisha niingize.
Acha nikale pilao tuu.
Hahahaa pilao linapoa.
 
Hivi kumbe,[emoji23][emoji23][emoji23]basi hii nimeshashindwa.
Maana nilitegemea niandike pembeni kisha niingize.
Acha nikale pilao tuu.

Mpaka unamaliza kuandika utakuwa umechelewa.

Labda za TTCL ambazo siyo wengi.
 
Pokea mkono wa Iddi mkuu.
View attachment 1118622
Dah wameiwahi.... Namshauri aliyetumia hii vocha airejeshe kwakuwa taarifa zake zinasoma Voda
IMG_20190605_164356.jpeg
 
Back
Top Bottom