HongeraShukrani sana mkuu, vocha ya pili nimepata. Eid Mubarak
Pole mkuu.. Nilijitahid niku quote kabisa. Nadhani ulitoka.Dah wameiwahi.... Namshauri aliyetumia hii vocha airejeshe kwakuwa taarifa zake zinasoma Voda View attachment 1118640
Naona voda upendeleo umekuwa mkubwa sana.
Nashauri voda irudiwe ili mrembo apate
Mabaharia tutaisusiaHawezi kuiwahi huyo.
Hahaha... Dah....Kuiweka public means atakayeiwahi achukue.
Wewe ulipewa favor ya mention, watu wakawahi fursa. Watu hawamwogopi mganga!
Tupo mkuu standby aisee kitambo sana
Yeah nimecheki na Voda wanataka card number lakini usipate usumbufu zaidi... Asante sana kwa kujaliPole mkuu.. Nilijitahid niku quote kabisa. Nadhani ulitoka.
[emoji120][emoji120][emoji123]Pamoja mkuu.
Watu mko fastaaaaa[emoji3][emoji23]Shukrani sana mkuu nimepata ya halotel[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mko fastaaaaa[emoji3][emoji23]