Pokea mkono wa Iddi.

Uzi tayari.
Kwa kuangalia serial number ya vocha hizo, nina uwezo wa kung'amua zimeingizwa kwenye simu yenye/zenye IMEI gani na hata kwenye namba gani za simu, hivyo nina uwezo wa kuanika jina halisi la mwenye ID hii ya na hivyo kuweza kufuatilia post zake na mlengo wake, kama ni wa kuiunga mkono au kuikosoa serikali
 
Kwa hyo tukusaidieje?
 
Hivi wewe unaamini unaweza kujificha? Ukiwa ndani ya Tanzania kwa hicho ki id chako usidhani unaweza kujificha ukiwa ndani ya Tanzania waliopo nje ya nchi ndio Wapo safe

Katiba yetu inaruhusu kukosoa kikubwa usmvunjie mtu heshima
Mi hata ukitaka namba yangu nakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…