Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Vipi nije tena na game lile nini mkuu
Kwa tulivyojazana kwenye huu Uzi, lile game linaweza pata watu.
Ila isiwe kila siku, hata mara moja kwa wiki au mbili inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nije tena na game lile nini mkuu
Kweli kabisa mkuu basi itakuwa kila ijumaaKwa tulivyojazana kwenye huu Uzi, lile game linaweza pata watu.
Ila isiwe kila siku, hata mara moja kwa wiki au mbili inatosha
Kweli kabisa mkuu basi itakuwa kila ijumaa
Kabisa mkuuSafi, kwa hiyo watu tujipange kwa kesho
Kabisa mkuu
Poa poa mkuuMaana uchumi huu kila siku unakuwa siyo fair kwako mwenyewe.
Pamoja.
No wonder umejiita 'busha' mkuuVocha namba desh desh imewekwa kwenye namba desh desh,,
"kuna member wa jf hajulikani alipo"labda kasafiri bwana"sijui".
Hau katekwa na watu wasojulikana,huenda ngoja tukaripoti polisi,,
Vya bure ni ghali,,
,,,,NAWAZA TU,,,
Busha la maadui,Busha kuu,,Busha bishi,No wonder umejiita 'busha' mkuu
Kuna vocha nilizidondosha jana hapa nafikir watu washaingiza kimya kimya.Tunasubiri vocha zako mkuu
Unazdondosha kmya kmyaKuna vocha nilizidondosha jana hapa nafikir watu washaingiza kimya kimya.
Hahahaha!!! Nilitaka mwenye bahati abahatike .Unazdondosha kmya kmya
Hata kuntag mshkaj wako
Akutag tena, kama anataka kukupa wewe si anakutumia tu piemuniUnazdondosha kmya kmya
Hata kuntag mshkaj wako
Umeona eeh[emoji23], maana lengo ilikuwa atakayewahi kuiona.Akutag tena, kama anataka kukupa wewe si anakutumia tu piemuni
I hope zoezi hili ni endelevu mkuuUmeona eeh[emoji23], maana lengo ilikuwa atakayewahi kuiona.
[emoji2]Akutag tena, kama anataka kukupa wewe si anakutumia tu piemuni