Pokea ujumbe wenye matumaini

Pokea ujumbe wenye matumaini

Rahajipe

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
165
Reaction score
63
KATIKA JINA LA MUNGU BABA, MUNGU MWANA, NA MUNGU ROHO MTAKATIFU ALIYE
BWANA NA MWOKOZI WA ULIMWENGU WOTE NINAKUOMBA UIBADILI, NA UIBARIKI
FAMILIA
YANGU, KAKA ZANGU, DADA ZANGU, WAZAZI WANGU, WAJUKUU ZANGU NA WATU WOTE
WA DUNIA HII WAKUJUE WEWE EE YESU KRISTO WANAZARETH MWANA WA MUNGU
ALIYE HAI, NA KUKUPOKEA UWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU YOTE, KWA
MAANA
UMESEMA KWENYE NENO LAKO YA KWAMBA HUPENDEZWI NA KIFO CHA MWENYE
DHAMBI. (ZAB 7:11, EZEK 18:32 NA EZEK 33:11)

1. Barua hii ilianza Mojojos na kuenea Duniani kote. Tengeneza nakala
28 na kupeleka kwa ndugu, jamaa na marafiki muda wa siku 10 utapata
majibu. Usicheke wala kuitupa barua hii kwa sababu ya barua hii
chochote kile kinaweza kukutokea.

* Mr. Corpus Mshahara wake uliongezeka baada ya kusambaza barua hii nakala.
* Mr. Eduan Bentire alifanaya mzaha na kucheka barua hii na alipoteza
familia yake.
* Mr. Donienlus alisambaza barua nakala 28 kwa familia, ndugu na
jamaa na marafiki na baadae alishinda bahati nasibu.
* Mr. Sisen mwaka 1973 aliomba kupeleka nakala 28 kwa familia, ndugu,
jamaa na marafiki na baadae alishinda bahati nasibu ya Dola milioni 2.


Tafadhali jaribu kumaliza kazi hii kwa muda siku 7 ukisali sala iliyoko juu
katika jina la Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii si utani katika
siku 7 utashangaa!!!

Katika mwaka 1957 mama mmoja kijana wa Calfonia alipokea barua hii. Akaiona
kama kero kwake na haisomeki. Lakini baadaye alisema kuwa ataichapa na
kuisambaza inavyotakiwa. Akaiweka pembeni na kuisahau, akikumbuka tena
na kuipeleka ilvyoagizwa kwa siku 7. Alinunua gari.

Mr. George Bush alipokea barua hii tarehe 16/11/1998 na kupeleka nakala 28
kwa marafiki, ndugu na jamaa. Baadaye alipata Urais wa Marekani.
Tafadhali kumbuka kupeleka nakala na usidharau.

2. KATIKA UPENDO NA UVUMILIVU MAMBO YOTE YANAWEKANA Hii nakala
imepelekwa kwako na kwa bahati yako. Mwanzo wa barua hii ni New Zeland
Imezunguka Dunia mara 9 sasa. Na bahati imetua kwako. Usipeleke pesa
kwani imani hainunuliwi peleka sasa nakala 28 kwa watu unaowajua.
Usiweke barua hii itoke mikononi mwako muda wa siku 10.

3. Peleka nakala 28 na angalia kitakachotokea kwa muda wa siku 7.
Lalamiko hili limetokea Venezuela Limeandikwa na Mt. Paul Anton De
Droup.
Missionary kutoka Africa Kusini. Kutokana na barua hii ni lazima
isafiri Duniani kote inakubidi uchukue nakala 28 na kuzipeleka kwa
ndugu,
jamaa, na marafiki na vikundi vyote wewe na mimi siku chache utaona
maajabu na ni kweli kuna kuamini.

4. Angalia Nd. Carlos Dagit ambaye alikuwa Afisa Mwangamiuzi Mkuu
kwenye ofisi yao alisahau barua hii na kuiacha. Alipoteza kazi, Baada
ya muda alikumbuka na kuipeleka nakala 28 ndipo akapata kazi nzuri
zaidi
siku chache baadaye.

5. Kumbuka barua hii inatakiwa itoke mikononi mwako kwa muda siku
10 na utapokea bahati yako kwa muda siku 7. AHSANTE.

6. MUNGU atubariki sasa na hata milele.ReplyReply All
 
Back
Top Bottom