ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
shukrani na ubarikiwe sana ladyfurahia upate twins
yaani kama ulikuwepo ndani ya moyo wangu ni jana tu nilimwambia mume wangu Mentor mwaka huu tumwombe Mungu tupate twins yeye alifurahia yaelekea naye alitamani sana
be blessed kwa maombi yako
yah ukipiga double double au triple unamaliza mapema na unapata muda wa kupumzika ila kuna kazi ya kulea lazima ajianda kukesha na kubembeleza
kama hajui uje nikuelekeze
all the best
Mi nataka sita kabisa nimalize kazi.....
Asante ladyfurahia
Asante sana ladyfurahia! Nimefurahia sana!
yah ukipiga double double au triple unamaliza mapema na unapata muda wa kupumzika ila kuna kazi ya kulea lazima ajianda kukesha na kubembeleza
kama hajui uje nikuelekeze
all the best
hahahah hongera njoo tupange namna ya kulea kwanza, mambo ya kuwa kila mtoto anakuja na bahati yake tuwaachie wazee wetu