Pokeeni furaha ya upendo kwenu wanajf wote


lazima achoke sababu alipania ... kwanza cha msingi unatakiwa umshukuru Mungu tu ukipata hao watoto swala la jinsia siku hizi siyo muhimu. mi wa kwangu wote wakike na niko poa nawapenda kuliko mama yao......!!!
 
hahaha kwa moga hakuendi kilio usalama wa wewe na watoto, maisha bora ni muhimu sana kwangu siyo woga ni kujipanga tu

simu umeweka wapi inaita tuuuuuuuuuu??
We mwanaume umeanza uongo..umenipigia saa ngapi?.Hebu pitia sredi ya Nicas Mtei ya mawasiliano kwanza ujifunze..
Mbona watoto sita ni wachache bana!! tutasaidiana kulea usijali wakitushinda tunapeleka kwa bibi yao..Kwanza mimi nilikuwa natamani kumi kabisa..Mara ya kwanza mapacha sita wote wa kiume na mara ya pili watoto 4 wote wa kike.mimi nitakuwa golikipa na wewe kocha.Timu ya mpira imetimia na tumeuaga umasikini tayari...Just be strategic acha uoga wee mwanaume.
 
Last edited by a moderator:
sijui kama mume wangu ataniruhusu kuja kufundishwa namna ya kulea hao matwins
yah ukipiga double double au triple unamaliza mapema na unapata muda wa kupumzika ila kuna kazi ya kulea lazima ajianda kukesha na kubembeleza

kama hajui uje nikuelekeze

all the best
 
nashukuru sana Mamndenyi kwa kunitumia ua zuri sana nimelipenda sana na nimefurahia sana

be blessed
 
Last edited by a moderator:
mhm! makubwa haya wewe uwapende hao wattoto tu na aliyewafyatua je? yaelekea humpendi ulimtumia tu kama chombo ili upate hitaji lako la hao watoto kumbe nyie wanaume mko hivyo? sikujua mie, ngoja nimuulize Mentor akama naye yuko kama wewe
lazima achoke sababu alipania ... kwanza cha msingi unatakiwa umshukuru Mungu tu ukipata hao watoto swala la jinsia siku hizi siyo muhimu. mi wa kwangu wote wakike na niko poa nawapenda kuliko mama yao......!!!
 
Last edited by a moderator:
mhm! makubwa haya wewe uwapende hao wattoto tu na aliyewafyatua je? yaelekea humpendi ulimtumia tu kama chombo ili upate hitaji lako la hao watoto kumbe nyie wanaume mko hivyo? sikujua mie, ngoja nimuulize Mentor akama naye yuko kama wewe

aahh mara nyingi sisi tunakuwa wamaliziaji tu nyie mkianza kuwa bussy na watoto hamjui kuwa kuna mtoto mkubwa nae anahitaji huduma tunajitahidi kuweka msaidizi lakini wapi sasa kuliko kwenda kupenda kidumu nikaona bora niwapende watoto.
 

nimekubali matokeo tuanze basi mapema kabla umri haujakutupa mkono na nyonga nazo kabla hazijaanza mgomo. si unajua sisi hatuna expire date.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…