Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Kwa hiyo kwa Ukraine kipigo inachopata Uchumi wake utakuwa mzuri kuliko wa Russia? Uchumi wa Russia unaweza kuinuka kwa haraka kuliko wa Ukraine.
Russia na Ukraine wote wanaathirika kiuchumi, na Ukraine hana namna ya kuepuka hilo make kavamiwa lazima alinde nchi yake, lakin Russia alikuwa na namna ya kutovamia nchi ya watu ili kuepusha mauaji na hasara za kiuchumi
 
Ujue pia washirika wa urusi kuilaani wapo!! China, India, Pakistan na mzee wa kiduku!!
 
Russia na Ukraine wote wanaathirika kiuchumi, na Ukraine hana namna ya kuepuka hilo make kavamiwa lazima alinde nchi yake, lakin Russia alikuwa na namna ya kutovamia nchi ya watu ili kuepusha mauaji na hasara za kiuchumi
Mkuu Russia angefanyaje wakati alikuwa anajihami na maadui waliokuwa wanaitumia Ukraine kukaribia mipaka yake?
 
Mkuu Russia angefanyaje wakati alikuwa anajihami na maadui waliokuwa wanaitumia Ukraine kukaribia mipaka yake?
Adui wa jirani yako akiwa rafiki yako haruhusiwi kuja kwako? Wewe utakubali rafiki yako asije kwako kisa jirani anapiga bit kuwa ni adui yake?! Na vipi akikuvamia utamwangalia tu?!
 
Adui wa jirani yako akiwa rafiki yako haruhusiwi kuja kwako? Wewe utakubali rafiki yako asije kwako kisa jirani anapiga bit kuwa ni adui yake?! Na vipi akikuvamia utamwangalia tu?!
Hapana Mkuu! Yaani Rafiki yangu wa kweli afanye urafiki na adui yangu na zaidi ya hapo anamfadhiri na kumpa eneo la kufanya mipango ya kunidhuru mimi? Harafu nimemwonya rafiki yangu hakusikia bado anamkaribisha adui yangu! Hapana aise tutazipiga tu.
 
Nimesema rafiki yako ambaye ni adui wa jirani yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] waulize Us bei ya mafuta ipo vipi sasa? Vita ya uchumi haina mbabe, wanaumia wananchi sio Putin wala Biden.

Pale Ukraine msaada wa silaha na mercenaries kutoka nje ndio unawafanya kua na uhai mpaka sasa, ila mwisho wa siku tutajua maana wakubwa wanapambana kwenye ardhi ya Ukraine. Si umeona Syra ndio itakua Ukraine.
 
Marekani ni kama yule rafiki anayeongea sana alafu kikitokea cha kutokea anakuweka mbele na mambo yakiharibika anakuruka na kupotea ghafla.
Kuna siku nilisema dunia nzima inamuogopa putin ila kuna watu wanapinga kishabiki.
Marekani Hana tofauti na harmorapa tukio la nape kunyooshewa bastola[emoji4]
 
Marekani msanii sana.
 
Hivi huyu rais wa Poland mbona hamstui menzake muigizaji wa Ukraine kwamba vita hii ni mbaya. Maana jamaa marekani na nato wanapenda kuchuuza wenzao, na Putin hana simile na ajizi ktk hili!!!??
 
Hata marekani wenyewe hawawezi kuthubutu kurusha kombora Moscow.
Kurudha komboro Moscow ni ngumu kutokana na mfumo wa Russia wa S 800 upo very power full sana hata ule wa izrael Dome , lkn piq itasababisha rushia kutembeza pigo kwa ADUI take ambalo litaathiri mpk ulaya ,
 
Story za vijiweni unawapigia wanaume wenye familia
 
Hicho ndicho ukionacho. Yaani aache kusimamia taifa lake afuate mawazo ya kishoga kama hayo yako?
 
Kwa kweli hapa US alikuwa anaidanganya Poland,tena ndege zenyewe Mig-29?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…