Mtu yeyote mwenye akili timamu hii vita sio ya kushabikia hata kwa sekunde moja. Yaani ilipofikia inahitaji mwendawazimu moja tu kuanzisha 3rd world war na wote tutaumia hakika.
Ni bora haijatokea enzi za Trump
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hii vita sio ya kushabikia hata kwa sekunde moja. Yaani ilipofikia inahitaji mwendawazimu moja tu kuanzisha 3rd world war na wote tutaumia hakika.
Huwezi kuwa shujaa kwa 'kushikiwa akili' kuitumbukiza nchi katika uharibifu kama huu unaofanyika.
Hakuna Chuki iliyofanyakazi mbele ya majadiliano.
Kwahiyo ungelikuwa wewe chaguo lako pekee lingelikuwa ni kupigana?
Kwanini aende kwenye meza ya majadiliano baada ya kuharibu nchi yake?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Hii pumba umeandika hapa inahusiana vp na Poland kukataa kupeleka ndege yenyewe Ukraine? Kama ingekuwa urusi ni mrahisi hivyo si NATO wangempiga tu chap na kumuwekea vikwazo juu!
kwann wafilisike na wanunue mkate kwa gunia la hela?kama ulikuwa hujui sasa hivi ndo wanapiga hela kupita wakati wowote manake mafuta na gesi bei juu mno mnoJidanganye, warusi haifiki mwakani wataanza kununua mkate kwa gunia la hela.
hajatishia kutumia silaha kutokana na upinzani aliokutana nao ukraine..ametishia kutumia hizo silaha endapo tu NATO itaingilia huu mgogoro moja kwa moja..jifunze utofautishaUsichojua ni kwamba hapo juzi tu baada urusi kukutana na upinzani mzito kutoka ukrain putin alianza kutishia kutumia nyuklia
So Nato hawataki vita ya 3 ya dunia kwasababu wanajua urusi anasilaha za nyuklia
so Nato akiingia tu urusi atatumia silaha izo dhidi ya Nato na pia Nato wanazo silaha za nyuklia zakutosha kujibu mapigo
Kama Nato wasipotumia busara nn itakua hatma ya mwanadamu
Hizi silaha wanazotumia Ukraine nyingi ziliingizwa kabla ya vita. Baada ya vita kuanza siyo rahisi tena kuingiza silaha. Bandari zote zimezungukwa. Na hizo zilizokuwa zimeingizwa karibu zote zimeshaharibiwa tayari.US kapeleka silaha wiki hii,hizi za kulipua vifaru na kuangusha ndege ni mzigo mpya. Hata ndege wanaweza tuma ikiwa wana uhakika air defense system ikiwa chini ya control ya Ukraine, siyo unatuma asubuhi afu mchana zimeharibiwa.
Hivi hujiulizi silaha zote wanazotumia Ukraine zinatoka wapi?.
Alaf kingine wanachoshindwa kuelewa ni kua marekani hana interest na hii vita coz haina maslai kwake na wala ucrain sio mshirika wao
Kusema Marekani inamuogopa Russia sio kweli kwasababu Marekani inamzidi kila kitu russia
Budget ya jeshi la russia ni USD 48 Billion
While Marekani ni USD 686 Billion
Kwa kuangalia tu hata hiyo tofauti kweli marekani inamuogopa russia hapo bado ujaweka washirika wake
Acha umbea mtoto wa kikeHapo Putin anajazwa ili aendelee kufirisiwa. Marekani ni mjanja sana, anataka vita isiishe mapema ili mrusi afirisike.
Anaejamba jamba atakuwa baba ako usirudie kumtukana putin mbele zangu kunguru weyeNchi takriban 14 duniani zimepeleka msaada wa silaha za kivita Ukraine, hata Marekani wenyewe wamepeleka matani kwa matani kabla ya vita na sasa vita inaendelea mbona huyo babako Putin hakurespond? Germany pekee wamepeleka Ant-tank 500 na Missles karibu 1000 zaidi, mindege ya kivita kibao Ukraine wamepewa unafkiri iyo vita iliyoko Ukraine ni ya kitoto?
Kwanini hujiulizi kama Russia anatisha kiasi hicho angechukua leo siku ya 14 Kiev bado yuko pembeni pembeni uko anajamba jamba, jana jenerali wao kapigwa chuma.
Putini amepanik sasa ukimgusa anatishia nuclear maana mbinu zake zimegonga mwamba, alidhani siku 2 zitamtosha kuichukua Kiev
View attachment 2144264
Sawa mmarekani wa homboloJidanganye, warusi haifiki mwakani wataanza kununua mkate kwa gunia la hela.
Hakuna cha kuomba poo, anatakiwa afe au akimbie. Hatutaki kuwa na nchi jilani inayotawaliwa na mtawala wa kimichongo wa USAZelensky alainika baada ya makombora ya Putin, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO
View attachment 2144709
![]()
Zelensky softening stance? Says no longer pressing for Ukraine's NATO membership
President Volodymyr Zelenskyy said he is no longer pressing for NATO membership for Ukraine, a delicate issue that was one of Russia's stated reasons for invading its pro-Western neighbor.www.thedailystar.net
Marekani haimzidi Urusi kivita. Urusi ina makombora ya nyuklia zaidi ya elfu tano, wakati Marekani ina makombora ya nyuklia elfu nne na kidogo. Tukubali marekani kapima kina kaona ni maji marefu!!
Naogopa burnMalizia kabisa wapumbavu kama Putin na genge lake.
Exactly! Putin akitaka anaweza kupiga dunia nzima ndani ya masaa kadhaa tu.Marekani ni kama yule rafiki anayeongea sana alafu kikitokea cha kutokea anakuweka mbele na mambo yakiharibika anakuruka na kupotea ghafla.
Kuna siku nilisema dunia nzima inamuogopa putin ila kuna watu wanapinga kishabiki.
Hujaelewa chanzo cha hii operesheni ya UrusiUlitaka aongoze nchi kwa kufuata maelekezo kutoka Moscow, kichwa maji ni Putin anayeharibu uchumi wa nchi yake huku akigharimu maisha ya Askari wake. Zelensky kavamiwa ulitaka asitetee nchi yake?!
Kifupi ni kwamba baada ya kuisha hii operation ndogo Moscow tunahamishia pale Kiev..Hakuna cha kuomba poo, anatakiwa afe au akimbie. Hatutaki kuwa na nchi jilani inayotawaliwa na mtawala wa kimichongo wa USA
ndio apeleke yeye mwenye uwezo wakuzilindaPamoja na mambo mengine US haamini kama Ukraine wataweza kuzilinda hizi ndege, mbona silaha nyingine kazipeleka kweupe kabisa?
kama wangekua hawana maslahi na UKRAINE kwa hio vita wasingetoa msaada wa vifaa vita na wasingemuekea RUSSIA vikwazo walomuekeaAlaf kingine wanachoshindwa kuelewa ni kua marekani hana interest na hii vita coz haina maslai kwake na wala ucrain sio mshirika wao
Kusema Marekani inamuogopa Russia sio kweli kwasababu Marekani inamzidi kila kitu russia
Budget ya jeshi la russia ni USD 48 Billion
While Marekani ni USD 686 Billion
Kwa kuangalia tu hata hiyo tofauti kweli marekani inamuogopa russia hapo bado ujaweka washirika wake
heheheeBado mdogo kwenye dunia ya mjemendari ya ujasusi.. rais wa Ukrain sio wa anga hizi... Just tulia uwone kitakacho tokea mrusi atajuta kuanza vita...