Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Mtu yeyote mwenye akili timamu hii vita sio ya kushabikia hata kwa sekunde moja. Yaani ilipofikia inahitaji mwendawazimu moja tu kuanzisha 3rd world war na wote tutaumia hakika.

Ni bora haijatokea enzi za Trump
 
Huwezi kuwa shujaa kwa 'kushikiwa akili' kuitumbukiza nchi katika uharibifu kama huu unaofanyika.

Hakuna Chuki iliyofanyakazi mbele ya majadiliano.

Kwahiyo ungelikuwa wewe chaguo lako pekee lingelikuwa ni kupigana?

Kwanini aende kwenye meza ya majadiliano baada ya kuharibu nchi yake?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app

Unachokisema ww ni ukrain kukaa meza moja na urusi na kukubali kila kitu urusi anachotaka

Mfano
labda Tz tumekubaliana kuungana na somalia kwa maslai yetu then kenya aje aseme hamna kuungana na somalia kwasababu tuhatarisha usalama wake

Baada ya kiwagomea watume majeshi kutuvamia
Kama ww ungekua rais hapo ungefanyaje ungesikiliza kenya au ungeangalia maslai yako?
 
Hii pumba umeandika hapa inahusiana vp na Poland kukataa kupeleka ndege yenyewe Ukraine? Kama ingekuwa urusi ni mrahisi hivyo si NATO wangempiga tu chap na kumuwekea vikwazo juu!

Usichojua ni kwamba hapo juzi tu baada urusi kukutana na upinzani mzito kutoka ukrain putin alianza kutishia kutumia nyuklia
So Nato hawataki vita ya 3 ya dunia kwasababu wanajua urusi anasilaha za nyuklia

so Nato akiingia tu urusi atatumia silaha izo dhidi ya Nato na pia Nato wanazo silaha za nyuklia zakutosha kujibu mapigo

Kama Nato wasipotumia busara nn itakua hatma ya mwanadamu
 
Jidanganye, warusi haifiki mwakani wataanza kununua mkate kwa gunia la hela.
kwann wafilisike na wanunue mkate kwa gunia la hela?kama ulikuwa hujui sasa hivi ndo wanapiga hela kupita wakati wowote manake mafuta na gesi bei juu mno mno
 
Usichojua ni kwamba hapo juzi tu baada urusi kukutana na upinzani mzito kutoka ukrain putin alianza kutishia kutumia nyuklia
So Nato hawataki vita ya 3 ya dunia kwasababu wanajua urusi anasilaha za nyuklia

so Nato akiingia tu urusi atatumia silaha izo dhidi ya Nato na pia Nato wanazo silaha za nyuklia zakutosha kujibu mapigo

Kama Nato wasipotumia busara nn itakua hatma ya mwanadamu
hajatishia kutumia silaha kutokana na upinzani aliokutana nao ukraine..ametishia kutumia hizo silaha endapo tu NATO itaingilia huu mgogoro moja kwa moja..jifunze utofautisha
 
H
US kapeleka silaha wiki hii,hizi za kulipua vifaru na kuangusha ndege ni mzigo mpya. Hata ndege wanaweza tuma ikiwa wana uhakika air defense system ikiwa chini ya control ya Ukraine, siyo unatuma asubuhi afu mchana zimeharibiwa.
Hivi hujiulizi silaha zote wanazotumia Ukraine zinatoka wapi?.
Hizi silaha wanazotumia Ukraine nyingi ziliingizwa kabla ya vita. Baada ya vita kuanza siyo rahisi tena kuingiza silaha. Bandari zote zimezungukwa. Na hizo zilizokuwa zimeingizwa karibu zote zimeshaharibiwa tayari.
 
Alaf kingine wanachoshindwa kuelewa ni kua marekani hana interest na hii vita coz haina maslai kwake na wala ucrain sio mshirika wao

Kusema Marekani inamuogopa Russia sio kweli kwasababu Marekani inamzidi kila kitu russia

Budget ya jeshi la russia ni USD 48 Billion
While Marekani ni USD 686 Billion

Kwa kuangalia tu hata hiyo tofauti kweli marekani inamuogopa russia hapo bado ujaweka washirika wake

Marekani haimzidi Urusi kivita. Urusi ina makombora ya nyuklia zaidi ya elfu tano, wakati Marekani ina makombora ya nyuklia elfu nne na kidogo. Tukubali marekani kapima kina kaona ni maji marefu!!
 
Nchi takriban 14 duniani zimepeleka msaada wa silaha za kivita Ukraine, hata Marekani wenyewe wamepeleka matani kwa matani kabla ya vita na sasa vita inaendelea mbona huyo babako Putin hakurespond? Germany pekee wamepeleka Ant-tank 500 na Missles karibu 1000 zaidi, mindege ya kivita kibao Ukraine wamepewa unafkiri iyo vita iliyoko Ukraine ni ya kitoto?

Kwanini hujiulizi kama Russia anatisha kiasi hicho angechukua leo siku ya 14 Kiev bado yuko pembeni pembeni uko anajamba jamba, jana jenerali wao kapigwa chuma.

Putini amepanik sasa ukimgusa anatishia nuclear maana mbinu zake zimegonga mwamba, alidhani siku 2 zitamtosha kuichukua Kiev

View attachment 2144264
Anaejamba jamba atakuwa baba ako usirudie kumtukana putin mbele zangu kunguru weye
 
Zelensky alainika baada ya makombora ya Putin, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO
View attachment 2144709

Hakuna cha kuomba poo, anatakiwa afe au akimbie. Hatutaki kuwa na nchi jilani inayotawaliwa na mtawala wa kimichongo wa USA
 
Marekani haimzidi Urusi kivita. Urusi ina makombora ya nyuklia zaidi ya elfu tano, wakati Marekani ina makombora ya nyuklia elfu nne na kidogo. Tukubali marekani kapima kina kaona ni maji marefu!!

Urusi ina zaidi ya elfu 6 na US ina zaidi ya elfu 5 hapo ujaingiza za washirika wake kama canada, UK na EU

Hao wote wanatoshana kumalizana, lakin je inafaida gani kwa US

US hapigani pasipo na maslai
Ukitaka kujua kwanin anaitwa superpower gusa maslai yake
 
Marekani ni kama yule rafiki anayeongea sana alafu kikitokea cha kutokea anakuweka mbele na mambo yakiharibika anakuruka na kupotea ghafla.
Kuna siku nilisema dunia nzima inamuogopa putin ila kuna watu wanapinga kishabiki.
Exactly! Putin akitaka anaweza kupiga dunia nzima ndani ya masaa kadhaa tu.
 
Ulitaka aongoze nchi kwa kufuata maelekezo kutoka Moscow, kichwa maji ni Putin anayeharibu uchumi wa nchi yake huku akigharimu maisha ya Askari wake. Zelensky kavamiwa ulitaka asitetee nchi yake?!
Hujaelewa chanzo cha hii operesheni ya Urusi
 
Hakuna cha kuomba poo, anatakiwa afe au akimbie. Hatutaki kuwa na nchi jilani inayotawaliwa na mtawala wa kimichongo wa USA
Kifupi ni kwamba baada ya kuisha hii operation ndogo Moscow tunahamishia pale Kiev..

Yaani Putin atakuwa anaamua leo akalale Kiev ama Moscow kama ilivyo kwa Mama Samia anachagua Dar ama Dodoma popote analala.
 
Alaf kingine wanachoshindwa kuelewa ni kua marekani hana interest na hii vita coz haina maslai kwake na wala ucrain sio mshirika wao

Kusema Marekani inamuogopa Russia sio kweli kwasababu Marekani inamzidi kila kitu russia

Budget ya jeshi la russia ni USD 48 Billion
While Marekani ni USD 686 Billion

Kwa kuangalia tu hata hiyo tofauti kweli marekani inamuogopa russia hapo bado ujaweka washirika wake
kama wangekua hawana maslahi na UKRAINE kwa hio vita wasingetoa msaada wa vifaa vita na wasingemuekea RUSSIA vikwazo walomuekea
kuhusiana na bajet taleban wanabajet kubwa kuliko ya USA mbna waliwakimbia kule AFGHAN?
 
Back
Top Bottom