Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Hebu tupe data kabla ya hivi vita Ukraine alikuwa na hizi ndege ngapi na sasa zimebakia ngapi, kwa sababu ni kama upo ndani ya jeshi la Ukraine.
 
Zelensky ni Mchokozi asiyenaubavu ndio maana nasema ameharibu uchumi na miundombinu mingine ya nchi yake kwa uzembe wa kufikiria.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app

Kwahiyo ungekua ni ww ungefanya kama putin anavyotaka
Wakat na ww ni nchi huru
Kama ndio ww hufai kua kiongoz...
 

Acha uongo soma habari juzi hapa bbc wamesema silaha zilizotoka west zimefika kiev
Unachotakiwa kujua sio kwamba Nato anamuogopa rusia
Ni wanajaribu kuepusha vita ya 3 ya dunia na wanafanya hivyo kwa kutopeleka majeshi yake tu
Ila silaha zinaenda kama kawaida
 
Kweli ulaya itafisika kwa kupokea wakimbizi 1M wa ukrain?
Think bro
Nimetoa mfano tu.Sanctions pia. Jana US na UK wamesitisha kununua mafuta na gas Russia. Wao wanategemea kidogo sana ukilinganisha na jinsi EU wanavyotegemea Gas na mafuta kwa Russia. Ujerumani peke yao wanategemea gas ya Russia kwa asilimia 40.Sasa US kawaomba EU nao wafanye the same EU wakiingia mkenge what the next ?Viwanda vitafanya vipi kazi ?Kuna nchi zinategemea gas ya Russia kwa almost asilimia 100.US na UK wana nia mbaya kwa nchi hizi.
 
Wengine ni watoto hata hawaelewi mkuu, kuna vita ya siku mbili au labda pambano la Evander na Tyson?
 
Puta relax
 
Kinachoenda kutokea ni Irán na North Korea kuota mapembe na kujikuta wana kauli nzitonzito,

Iran, sidhani kama itataka kutumia mwanya huo kufanya ujinga, atakachofanya atafanya upya negotiation na marekani ili aruhusiwe kuzalisha umeme wa nyuklia (sio mabomu, ni umeme) sidhani kama mabomu ana faida nayo ama anayataka sana ni wazi irán inataka raia wake waishi kwa amani kwenye nchi yao, ila huu mwanya uliopo itasaidia kumpa irán nguvu kidogo na kumtoa unyonge kwenye negotiations

North Korea, ni wazi yule rais wao ni chizi, kashaanza majaribio ya makombora ni wazi mwanya huu atautumia kufanyia majaribio hayo ya kutishia amani, badala ya kuutumia kwa faida ya wananchi wake
 
Kuirudisha Ukraine ilivyokuwa awali itahitaji miaka 30-50 wakati Russia alijarushwa hata jiwe. Mwisho wa siku Russia atapiga hiyo nchi nzima na wataenda Moscow kupiga goti.
hiv kwa nn na ukraen asipewe kombora moja hatari alirushe moscow iwe ngoma droo?
 

Kwa EU hawawezi kufanya maamuzi hayo kwa haraka hivyo
So they need time ila by the end of 2022 wamesema watapunguza utegemeezi wao kwa mafuta na gasi za russia
 
Dunia inahitaji vita, kwa uoga ulionao wewe ni rahisi sana kubakwa kisa umekutana na mtu kashika kisu.
Dunia inahitaji balance of power, na ili iwepo lazima vita iwepo. Acha ujinga na ufala
 
Ulitaka aongoze nchi kwa kufuata maelekezo kutoka Moscow, kichwa maji ni Putin anayeharibu uchumi wa nchi yake huku akigharimu maisha ya Askari wake. Zelensky kavamiwa ulitaka asitetee nchi yake?!
We usiye kichwa maji uliwahi kupigana vita gani hasa tangu dunia iumbwe [emoji848][emoji38]

Unajizima data kutojua Putin alishapigana WW2 na hakupatwa na madhara yoyote hadi apigane tena vita hii[emoji848][emoji1787]

Wamarekani wa Mwabepande bhana [emoji28]
 
Unaweza kuwa mmoja wa vijana wajinga zaidi hapa. Wtf is mstari mwekundu. Yeyote atakayeshinda vita kiuchumi atafaidikaje? Nazidi kuamini unaishi kwa shemejiako

Alaf kingine wanachoshindwa kuelewa ni kua marekani hana interest na hii vita coz haina maslai kwake na wala ucrain sio mshirika wao

Kusema Marekani inamuogopa Russia sio kweli kwasababu Marekani inamzidi kila kitu russia

Budget ya jeshi la russia ni USD 48 Billion
While Marekani ni USD 686 Billion

Kwa kuangalia tu hata hiyo tofauti kweli marekani inamuogopa russia hapo bado ujaweka washirika wake
 
Achana na wapumbavu wenye mahaba niue wa USA watakupotezea tu muda [emoji16]
 
Sio kilamtu anatabia zako. Relax acha watu waweupande wanaopenda wao
 
Russia mjanja sana, kaona kabisa mfumuko wa bei Ulaya hauepukiki na kutakuwa na uhaba mkubwa wa malighafi ambazo Russia ndio msambazaji mkubwa sana. Kitendo cha Russia kuzuia gesi yake lazima matokeo tutayaona
 
Nilipigana WW2, ulivyo kichwa maji haujui kwamba Kuna watanganyika tulipigana WWII, Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…