Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Russia mjanja sana, kaona kabisa mfumuko wa bei Ulaya hauepukiki na kutakuwa na uhaba mkubwa wa malighafi ambazo Russia ndio msambazaji mkubwa sana. Kitendo cha Russia kuzuia gesi yake lazima matokeo tutayaona
Matokeo yake ni Russia kukosa hela, au atakula vita?!!
 
Kulikuwa na suala la kupata ndege za kivita ili kupeleka Ukraine zikasaidie kupambana na Marekani. Nchi zote zikaingia baridi, halafu Marekani ikasema inafanya majadilioano na Poland ili ikubali kupeleka ndege zake Ukraine. Poland hakutaka kumkatisha tamaa Marekani, ila ikamwambia kuwa haiwezi kuzipeleka moja kwa moja Ukraine kutokea Poland isije ijikuta kwenye midomo ya Putin.

Ila Poland ikasema nitazipeleka hizo ndege na kuzikabidhi kwa Marekani kwenye kambi ya Marekani iliyoko Ujerumani TENA BILA GHARAMA! Halafu Marekani kama ina ubavu huo ndio izipeleke hizo ndege huko Ukraine!

Marekani kuona hivyo ikaruka kimanga!! Tuambizane ukweli, hakuna mwenye ubavu wa kujitumbukiza kwenye midomo ya Putin. Ikasema SIWEZI KUFANYA HIVYO!!

Sasa najiuliza, wakati Marekani inaiambia Poland (mwanachama wa NATO) kuwa ipeleke ndege zake Ukraine haikuwa inajua kuwa itaziingia nchi za NATO kwenye vita na Urusi? Ila kwa sasa Marekani ilipoambiwa yenyewe ndiyo izipeleke ndo inajua kuwa itaziingiza NATO vitani na Urusi??

Mchezo uko hivi: Putin aliipigia simu Poland kuitonya kuwa usijaribu kuleta ndege zako Ukraine, iambie Marekani kama ina ubavu izilete yenyewe!! Ona hapa!

A plan under which the US would transfer Polish-owned planes to Ukraine risks dragging NATO directly into a military conflict between Kiev and Moscow, the Pentagon said, as it seemingly rejected a deal earlier proposed by Warsaw.

On Tuesday, Poland announced that it was ready to deploy “immediately and free of charge” its fleet of MiG-29 jets to a NATO base in Germany and hand them over to the US military.

Marekani kwa suala hili imepata aibu sana!! Ni sawa na baba mtu aliposikia kuna sauti ya hatua za mtu akitembea kuzunguka nyumba yake usiku halafu akamtuma mtoto atoke nje kwenda kuangalia ni kitu gani. Mtoto akamjibu baba kuwa hawezi maana anaogopa, ila ataenda kufungua mlango ili baba mwenyewe atoke nje!!

Baba kuambiwa hivyo akasema, "mwanangu kutoka nje usiku ni hatari sana kwa maisha yetu wote hapa nyumbani". Sasa mtoto atabaki akijiuliza hii hatari ameijua saa ngapi? wakati ananiambia mimi nitoke hakuwa anajua hatari hiyo?

Kumtegemea baba wa hivyo yatakukuta yaliyomkuta Rais Zelensky wa Ukraine, alivimbishwa kichwa kwa kuahidiwa kujiunga na NATO na kupewa vimsaada vya kijeshi ambavyo mpaka sasa vimeshasambaratishwa!
Umetoa wapo Hii habari ?? Ni Poland waliomshtua USA .Poland wamepeleka ndege za jeshi ukraine bila ku mwambia member yoyote wa NATO .Remember hakuna mtu anaweza rusha ndege ya jeshi ya USA ni USA pilot trained .Lakini ndege za Poland russia Belarus Moldova ukraine pilots na pilot hata wa Africa wanaweza rusha
 
Haya yalikuwa ni maneno ya Marekani kutaka kumwingiza choo cha kike Poland! Hapa Marekani anasema nchi za NATO zinaruhusiwa kupeleka ndege zake Ukraine.

Lakini Poland alivyoshtukia mtego huo akamwambia Marekani sawa, mimi nikuletee hizo ndege halafu wewe uzipeleke huko Ukraine!! Marekani kuona hivyo akala nduki!!!! Ila ni AIBU!! Hakuna tena nchi ya NATO itakayoiamini Marekani kivile!!

Utasukumiaje mzigo kwa mwenzako ambao wewe hauna u8bavu wa kuubeba?? Tusidanganyane, Putin anatisha!! Fikiria anapigana vita huku kafungwa mikono na miguu ya kiuchumi karibuni nyote!!!! Hakuna nchi inayoweza kuhimili hali hiyo!!!
In a very short run Urusi itaathirika sana Kiuchumi, na hata kisiasa kwa sababu ya hii Vita..
 
Jidanganye, warusi haifiki mwakani wataanza kununua mkate kwa gunia la hela.
Marekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.

Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita

========

View attachment 2144165

Kumbukizi: Juzi kati Marekani ilipojisemesha kuwa nchi za NATO zinaruhusiwa kupeka ndegevita Ukraine

View attachment 2144174
remember hakuna mtu duniani anaweza kurusha ndege za jeshi USA only general pilot Huyo ndio marekani .Ndege lazima zitoke Poland .Ukraine pilot wanaendesha ndege za nchi zingine except USAna Israel
 
Poland ninawapa big up.Halafu cha kushangaza US wamekataa Ombi la Poland la kupeleka ndege US ya Ujerumani. 😂😂😂US anajidai mjanja. Kuna wajanja zaidi yake.
Again ndege ya USA ya jeshi na Israel haiwezi kurushwa na taifa nyingine .Ni Sawasawa ni kupeleka tesla Sasa Hivi endesha .Ndege ya USA ikipelekwa ukraine lazima uwe na general pilot it means ww111
 
Poland wako Sahii kabisa,
Yaliyotokea Ukraine yametoa funzo tosha.

Kwani marekani anaona tabu gani kurusha ndege zake kutokana Washington direct to Ukraine?

Kama anaona gharama kwanii asitumie aircraft carrier kwny international water aanzishe Vita kutokea pale .

Huu mtego wa kuwaingiza wenzie kwny Vita Ni wakipumbavu Sana.
 
Mtu yeyote anayeshabikia huu ujinga na kum support Qumer putin namuona ni kijana mdogo anayekaa sebuleni kwa shemeji yake.

Kisha pia namuona ni msssssenge tu anayepumuliwa na ku earn kipata.

Kama ujajitafutiaga hata senti moja tu ya kula utagundua jinsi gani dunia haihitaji vita.
Empty headed[emoji3525]
IMG_20220305_171404.jpg
 
Poland wana Historia mbaya na hawa Nationalist wanaipambania Ukraine leo.
Chini ya muasisi wao Stepan Bandera, wameua wapoland wengi sana.
Imetokea tu kuwa saiv wamekuwa same side ila wanachuki za chini chini.
Na wewe upo Akili za Putin 1938 .Hii ni 20s new generation hamna vita ni ushamba tu wa Putin .Poland ni vijana Sasa Huyo rais wa ukraine 44 years old mtoto mdogo tu anamtoa jasho Putin .Putin na majeshi yake Huyo Zellensky anamchezea Putin mchezo wa catch me if you can .Wazee wa vita hata USA wapo hoi Zellensky anawaambia lete hiki wanapeleka .Na vijana wanakumbilia ukraine 🇺🇦 kupigana
 
Poland wako Sahii kabisa,
Yaliyotokea Ukraine yametoa funzo tosha.

Kwani marekani anaona tabu gani kurusha ndege zake kutokana Washington direct to Ukraine?

Kama anaona gharama kwanii asitumie aircraft carrier kwny international water aanzishe Vita kutokea pale .

Huu mtego wa kuwaingiza wenzie kwny Vita Ni wakipumbavu Sana.
It means it’s WW3
 
Watu hawaelewi hakuna kosa kubwa kama kushindana na mjinga Putin namtizma kama mjinga asie na cha kupoteza. kwa dunia ya leo hakuna nchi ama kiongozi mwenye maono anataka kujitumbukiza kwenye vita ndo mana misaada iliyo pelekwa Ukraine sio ya kijeshi mana Putin anaweza kurupuka akatumia nuclear akaleta maafa mpaka kwa raiya wake mwenyewe...
 
Kwanza hii vita imefikia wapi, Mtanzania mimi huwa sifuatilii vitu kwa muda mrefu
 
Nchi takriban 14 duniani zimepeleka msaada wa silaha za kivita Ukraine, hata Marekani wenyewe wamepeleka matani kwa matani kabla ya vita na sasa vita inaendelea mbona huyo babako Putin hakurespond? Germany pekee wamepeleka Ant-tank 500 na Missles karibu 1000 zaidi, mindege ya kivita kibao Ukraine wamepewa unafkiri iyo vita iliyoko Ukraine ni ya kitoto?

Kwanini hujiulizi kama Russia anatisha kiasi hicho angechukua leo siku ya 14 Kiev bado yuko pembeni pembeni uko anajamba jamba, jana jenerali wao kapigwa chuma.,

Putini amepanik sasa ukimgusa anatishia nuclear mana mbinu zake zimegonga mwamba, alidhani siku 2 zitamtosha kuichukua Kiev

View attachment 2144264
Marekan na nato iliwachukua muda gani kuingia baghdad,? Afghn, libya pia iliwachukua muda gani? Na ujue hapo anapigana huku huruma anayo kwan hajatumia silah zake za kisasa na kateka viwanda vikubwa nyuklia vya ukrain lakin hajaviharibu kwa huruma yake tu. Hujui hayo pusi wew?
 
Kama una uwezo wakuiongoza Russia miaka yote ya Putin basi nitaunga hoja yako, tulia kula viazi vitamu uangalie watu wanavyotumia Akili zao huko.
Nchi yenye utajiri wa resources lukuki lakini inazodiwa uchumi na South Korea yenye resources za kuungaunga!![emoji3][emoji3], Kama sio ukichwa maji ni nini?! Hiyo nchi nikiiongoza Mimi itakuwa na uchumi kuliko nchi zote za ulaya na Japan.
 
Back
Top Bottom