Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Russia mjanja sana, kaona kabisa mfumuko wa bei Ulaya hauepukiki na kutakuwa na uhaba mkubwa wa malighafi ambazo Russia ndio msambazaji mkubwa sana. Kitendo cha Russia kuzuia gesi yake lazima matokeo tutayaona
Matokeo yake ni Russia kukosa hela, au atakula vita?!!
 
Umetoa wapo Hii habari ?? Ni Poland waliomshtua USA .Poland wamepeleka ndege za jeshi ukraine bila ku mwambia member yoyote wa NATO .Remember hakuna mtu anaweza rusha ndege ya jeshi ya USA ni USA pilot trained .Lakini ndege za Poland russia Belarus Moldova ukraine pilots na pilot hata wa Africa wanaweza rusha
 
In a very short run Urusi itaathirika sana Kiuchumi, na hata kisiasa kwa sababu ya hii Vita..
 
 
Poland ninawapa big up.Halafu cha kushangaza US wamekataa Ombi la Poland la kupeleka ndege US ya Ujerumani. 😂😂😂US anajidai mjanja. Kuna wajanja zaidi yake.
Again ndege ya USA ya jeshi na Israel haiwezi kurushwa na taifa nyingine .Ni Sawasawa ni kupeleka tesla Sasa Hivi endesha .Ndege ya USA ikipelekwa ukraine lazima uwe na general pilot it means ww111
 
Poland wako Sahii kabisa,
Yaliyotokea Ukraine yametoa funzo tosha.

Kwani marekani anaona tabu gani kurusha ndege zake kutokana Washington direct to Ukraine?

Kama anaona gharama kwanii asitumie aircraft carrier kwny international water aanzishe Vita kutokea pale .

Huu mtego wa kuwaingiza wenzie kwny Vita Ni wakipumbavu Sana.
 
Poland wana Historia mbaya na hawa Nationalist wanaipambania Ukraine leo.
Chini ya muasisi wao Stepan Bandera, wameua wapoland wengi sana.
Imetokea tu kuwa saiv wamekuwa same side ila wanachuki za chini chini.
Na wewe upo Akili za Putin 1938 .Hii ni 20s new generation hamna vita ni ushamba tu wa Putin .Poland ni vijana Sasa Huyo rais wa ukraine 44 years old mtoto mdogo tu anamtoa jasho Putin .Putin na majeshi yake Huyo Zellensky anamchezea Putin mchezo wa catch me if you can .Wazee wa vita hata USA wapo hoi Zellensky anawaambia lete hiki wanapeleka .Na vijana wanakumbilia ukraine 🇺🇦 kupigana
 
It means it’s WW3
 
Watu hawaelewi hakuna kosa kubwa kama kushindana na mjinga Putin namtizma kama mjinga asie na cha kupoteza. kwa dunia ya leo hakuna nchi ama kiongozi mwenye maono anataka kujitumbukiza kwenye vita ndo mana misaada iliyo pelekwa Ukraine sio ya kijeshi mana Putin anaweza kurupuka akatumia nuclear akaleta maafa mpaka kwa raiya wake mwenyewe...
 
Kwanza hii vita imefikia wapi, Mtanzania mimi huwa sifuatilii vitu kwa muda mrefu
 
Marekan na nato iliwachukua muda gani kuingia baghdad,? Afghn, libya pia iliwachukua muda gani? Na ujue hapo anapigana huku huruma anayo kwan hajatumia silah zake za kisasa na kateka viwanda vikubwa nyuklia vya ukrain lakin hajaviharibu kwa huruma yake tu. Hujui hayo pusi wew?
 
Kama una uwezo wakuiongoza Russia miaka yote ya Putin basi nitaunga hoja yako, tulia kula viazi vitamu uangalie watu wanavyotumia Akili zao huko.
Nchi yenye utajiri wa resources lukuki lakini inazodiwa uchumi na South Korea yenye resources za kuungaunga!![emoji3][emoji3], Kama sio ukichwa maji ni nini?! Hiyo nchi nikiiongoza Mimi itakuwa na uchumi kuliko nchi zote za ulaya na Japan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…