Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

Je SA ni sawa na USA ? Ndo nyiny mnaunga mkono Urusi kuvamia Ukraine kisa , USA ikivamia Iraq , watu wa hovyo sana
Hio ni Inferiority complex, kwanini SA isiwe sawa USA. Wewe ndio ungekua Kiranja wa Dunia ungeruhusu SA Apartheid irudi. Zote ni Nchi zote zina Maraisi utofauti upo wapi?
 
Je SA ni sawa na USA ? Ndo nyiny mnaunga mkono Urusi kuvamia Ukraine kisa , USA ikivamia Iraq , watu wa hovyo sana
SA na USA tofauti ni hiyo ^U^ tu mkuu. Mengine yote ni sawa. Miller! Miller! Can you read me?
 
Back
Top Bottom