YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine
Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu
Dar es salaam tuko zaidi ya milioni tano hatujamkaribisha hata mkimbizi mmoja toka Ukraine.Tunazidiwa na jiji lenye watu
350, 000
Ndio maana wazungu hawatupendi waafrika Sisi likitukuta tunakimbilia Ulaya wakati wao yakiwakuta kama hilo.la Ukraine hakuna nchi hata moja ya kiafrika imewaambia wakimbizi wa Ukraine karibuni kwetu tutawatunza