Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine...
mwanalumumba tokea lini akawa na akili mkuu?Kuna wakimbizi kongo kuna wakimbizi burundi ila wewe umeona tuwakalibishe wa ukrein wenzio huu ndio tunaita utumwa wa fikla,
Usipende kuwa muongo namna hiyo, tuwekee basi picha ya huo mji na wakimbizi wakijivinjaliJiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine
Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu
Dar es salaam tuko zaidi ya milioni tano hatujamkaribisha hata mkimbizi mmoja toka Ukraine.Tunazidiwa na jiji lenye watu
350, 000
Ndio maana wazungu hawatupendi waafrika Sisi likitukuta tunakimbilia Ulaya wakati wao yakiwakuta kama hilo.la Ukraine hakuna nchi hata moja ya kiafrika imewaambia wakimbizi wa Ukraine karibuni kwetu tutawatunza
Hao wakimbizi wa kongo na Burundi wanatunzwa na shirika la wakimbizi la Umoja wa mataifa.Hao wa Poland wanatunzwa na wakazi wa Jiji la Lublin lenyewe kwa gharama zao sio za UNHCR inajivunia kitu ambacho hugharimii weweKuna wakimbizi kongo kuna wakimbizi burundi ila wewe umeona tuwakalibishe wa ukrein wenzio huu ndio tunaita utumwa wa fikla,
Hao wanatunzwa na shirika la wakimbizi la Umoja wa mataifa.Hao wa Poland wanatunzwa na wakazi wa Jiji la Lublin lenyewe kwa gharama zao sio za UNHCR inajivunia kitu ambacho hugharimii wewe...
Hao wakimbizi wa kongo na Burundi wanatunzwa na shirika la wakimbizi la Umoja wa mataifa.Hao wa Poland wanatunzwa na wakazi wa Jiji la Lublin lenyewe kwa gharama zao sio za UNHCR inajivunia kitu ambacho hugharimii wewe...
Source ni BBC ulitaka nirekidi kipindi
Kwel kabisa... Siku zote ngoz nyeus haithamin ngoz nyeus yenzake... Takataka kabisaKuna wakimbizi kongo kuna wakimbizi burundi ila wewe umeona tuwakalibishe wa ukrein wenzio huu ndio tunaita utumwa wa fikla,