Poland yatuma wanajeshi mpakani licha ya Putin kulia lia

una akili nyepesi sana
na huo mfano wako kila siku una utoaga ukijua kwamba utaeleweka.
sikia nikwambie hizo akili zako bado sana
maana unakurupukaga sana

Hehehe mwaka wa pili bado mnaandika andika, mlikurupuka humu na nyuzi za kutaka kutuonyesha kiama cha Ukraine, ukweli hata mimi nusra niwaamini, ila walichofanyiwa na hako kataifa ka Ukraine, itaandikwa na kusomwa kenye vitabu vyote vya historia, kubalini mtume wenu Putin ni hovyo....
 
Aliangukia pua yaani, hehehe nilicheka sana, kapigwa na kitu kizito hakutarajia.....sijui nani kamdanganya Putin unaweza kuiparamia nchi ya watu kama kwako sebuleni...
Hebutazama silaha za Nato zinavyo teketezwa yani kila Mwanajeshi wa Urusi akirupua vifaru anapewa 12000 US dollars hizo aibu za NATO humuonyeshwi na CNN au AlJazeera
 
Hebutazama silaha za Nato zinavyo teketezwa yani kila Mwanajeshi wa Urusi akirupua vifaru anapewa 12000 US dollars hizo aibu za NATO humuonyeshwi na CNN au AlJazeera

Hizi video zenye maandishi ya kiarabu kama ndio tegemeo lako kweli mumeishiwa, nikiamua kuleta video humu mbona nitajaza server za watu bure.....hehehe takbir
 
Na wewe kwenye familia yako unategemewa utatue changamoto za familia ?
 
Toka mwanzo mwa hii SMO,Poland ilionekana mapema itafuatiwa baada ya Uikrane.
 
Poland wanahangaika na Wagner tu!!
 
Umenena vema. Hata kama Putin huwa anajifanya hamnazo lakini linapokuja swala la NATO lazima Putin awashe data.
 
Russia ataishia tu hapo Ukraine hawezi kamwe kwenda nje ya hapo na hilo hata yeye analifahamu vizuri sana. Russia is just a poor excuse for a super power.
 
Soon utakuwa kichaa , mara ukraine wanalazimishwa kupigana , mara wanaopigana ni wapoland na wajeruman , yaan bado kdgo uokote makopo
 
Ww mtu bado kdg uwe kichaa
 
Dogo Mrusi si kichaa ka US angetaka kumaliza vita hata siku moja angemaliza kwa kutumia Nuclear

Ukraine washukuru sana Putin anahuruma na anacheza nao kidogo kidogo.

Siri zitajulikana tu vita vikisha kuwa Nato yote ilikuwa inapigana na Mrusi.
Bado kdg uwe kichaa , Putin awe na huruma ya kulipua makazi ya watu?
 
una akili nyepesi sana
na huo mfano wako kila siku una utoaga ukijua kwamba utaeleweka.
sikia nikwambie hizo akili zako bado sana
maana unakurupukaga sana
Ukikosa hoja kaa kimya , hz tabia za uswahili hazitupendez humu , jibu kwa hoja
 
Siku akisaidiwa ndio sijui mtalia, yaani Urusi hata waarabu waliokua wanaitegemea wameishangaa sana, mumesalia nyie waarabu wa Bongo ndio mumejizima data.
[emoji38][emoji38]hawa waarabu wa bongo ni machawa hatari wanapigania kuidalalia bandari yetu.
 
Soon utakuwa kichaa , mara ukraine wanalazimishwa kupigana , mara wanaopigana ni wapoland na wajeruman , yaan bado kdgo uokote makopo
Wacha nije anza kujifundisha kwako 😂 kwa siku huwa unaokota makopo mangapi
 
Hivi poland unawajua lakin au ndo hamtaki kusoma historia, katika zenye historia yakukinukisha kwenye mambo yakimedani bhasi nihao wapoland hawa sio washamba wavita naurusi inatambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…