Pole Balozi Maharagwe

Pole Balozi Maharagwe

..R.I.P Fatuai.

NB:

..yupo Balozi Kassim Maharage Juma Mwawado. aliwakuwa Mkuu wa Itifaki wakati wa Mzee Mwinyi, baadae akatuwakilisha Paris, na Cairo.

..then, kuna mdogo mtu Balozi Mohamed Maharage Juma ambaye anatuwakilisha Dubai. kabla ya hapo alituwakilisha Kinshasa.

..ndugu hawa ni watumishi wa muda mrefu[more than 25 yrs] wa wizara ya mambo ya nje.

..baba yao Mzee Maharage Juma aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya wakati wa Utawala wa Juliasi.
 
Mh! Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu.

Hiyo habari ya sumu kwenye mishikaki inatisha kidogo.
 
Huyu kavunja kanuni za jf, hajatujulisha vizuri, aliyefariki ni yupi? hizi ni taharifa tata.

Hata hivyo nawapa pole wafiwa wote,
 
..R.I.P Fatuai.

NB:

..yupo Balozi Kassim Maharage Juma Mwawado. aliwakuwa Mkuu wa Itifaki wakati wa Mzee Mwinyi, baadae akatuwakilisha Paris, na Cairo.

..then, kuna mdogo mtu Balozi Mohamed Maharage Juma ambaye anatuwakilisha Dubai. kabla ya hapo alituwakilisha Kinshasa.

..ndugu hawa ni watumishi wa muda mrefu[more than 25 yrs] wa wizara ya mambo ya nje.

..baba yao Mzee Maharage Juma aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya wakati wa Utawala wa Juliasi.
then kuna either ni baba yao mkubwa au baba mdogo Waziri Juma ambaye amewahi balozi,i think in EGYPT
 
..R.I.P Fatuai.

NB:

..yupo Balozi Kassim Maharage Juma Mwawado. aliwakuwa Mkuu wa Itifaki wakati wa Mzee Mwinyi, baadae akatuwakilisha Paris, na Cairo.

..then, kuna mdogo mtu Balozi Mohamed Maharage Juma ambaye anatuwakilisha Dubai. kabla ya hapo alituwakilisha Kinshasa.

..ndugu hawa ni watumishi wa muda mrefu[more than 25 yrs] wa wizara ya mambo ya nje.

..baba yao Mzee Maharage Juma aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya wakati wa Utawala wa Juliasi.

Hiyo ni CV ya familia, aliyefariki ni yupi, Baba na bintiye au Baba/Binti Tupe taharifa kamili.
 
Kaitaba,

..aliyefariki ni FATUAI ambaye ni binti wa Balozi Mohamed Maharage Juma.
 
Kwa msaada soma kwenye michuzi.Ila nimesoma ni Binti yake aitwaye Fatuai alikula chakula chenye sumu kwenye mgahawa ila wenzake wamepona.Mungu awafariji Familia hii.
 
Back
Top Bottom