then kuna either ni baba yao mkubwa au baba mdogo Waziri Juma ambaye amewahi balozi,i think in EGYPT..R.I.P Fatuai.
NB:
..yupo Balozi Kassim Maharage Juma Mwawado. aliwakuwa Mkuu wa Itifaki wakati wa Mzee Mwinyi, baadae akatuwakilisha Paris, na Cairo.
..then, kuna mdogo mtu Balozi Mohamed Maharage Juma ambaye anatuwakilisha Dubai. kabla ya hapo alituwakilisha Kinshasa.
..ndugu hawa ni watumishi wa muda mrefu[more than 25 yrs] wa wizara ya mambo ya nje.
..baba yao Mzee Maharage Juma aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya wakati wa Utawala wa Juliasi.
..R.I.P Fatuai.