Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria 🙄
Kumbe ndiyo maana nchi inaenda kama gari bovu. Kama wabunge ni watu wa sampuli hii tutegemee nini kutoka bungeni? Na hapo hujaweka kina Msukuma, Gwajima, Kibajaji, Tale etc. Bunge limekuwa kijiwe cha matapeli siku hizi.
 
Hawa wabunge wa Ndugai wana kaugonjwa ka akili kama Jobo mwenyewe
 
Nasikia hata tajiri wa mabasi wa dodoma ambaye pia Ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.

Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae

Pia nasikia mbunge Fulani wa huko geita alijiburuza nae

Si Haba
Kumbe Wabunge wetu sio Waadilifu...hawastahili kuwa Watungasheria wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…