Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Watu wengi sana wamepiga hapo mpaka yule msanii anaetaka kununua rolls Royce nae alishabutua halo!!Nasikia hata tajiri wa mabasi wa dodoma ambaye pia Ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.
Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae
Pia nasikia mbunge Fulani wa huko geita alijiburuza nae
Si Haba
In short ukiwa na pesa tu unapiga...sema sidhan kama luku hamna hapo nadhan itakuwepo