Watu wengi sana wamepiga hapo mpaka yule msanii anaetaka kununua rolls Royce nae alishabutua halo!!Nasikia hata tajiri wa mabasi wa dodoma ambaye pia Ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.
Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae
Pia nasikia mbunge Fulani wa huko geita alijiburuza nae
Si Haba
HahahahaNimejaribu ku-google nikaona picha zake.... ahaa. Jamani nchi yetu imeoza. Watu wa aina hii wanafikaje bungeni? CCM wamefilisika kiasi hiki? Wabunge wa aina hii wanatoa ujumbe gani kwa kizazi cha kesho?
Mkuu mjengon kuna visu balaa...kama huna access ya kuingia huko bas at least ukiwa pande za Dom tembelea viwanja vya hadhi utawakuta hukoNimejaribu ku-google nikaona picha zake.... ahaa. Jamani nchi yetu imeoza. Watu wa aina hii wanafikaje bungeni? CCM wamefilisika kiasi hiki? Wabunge wa aina hii wanatoa ujumbe gani kwa kizazi cha kesho?
Mkuu bila shaka nawewe ulitia kamhuri kako hapo mzee wangu mrangi,mzee wa mishentauniNimekaa naye sana mitaa ya garden
Enzi hizo ubunge bado hahah
Ngj tuishie hapa
Ova
Picha yake tafadhali, inaonekana atakua analipa lipa aiseeNasikia hata tajiri wa mabasi wa dodoma ambaye pia Ni mbunge alipita nae nyakati Fulani.
Pia nasikia Yule msanii icon nae aliteleza nae
Pia nasikia mbunge Fulani wa huko geita alijiburuza nae
Si Haba
Duhh!Tatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2
Huyu Magige awali alikuwa mchepuko wa Mamvi kisha akahamia kwa Kagasheki sasa anamng'ang'ania hayati?
Lazima ana pepo huyu na hapo ukute waliomsindikiza ni wale Covid 19!
Anakuzidi wewe kwa connection? Nadhan humu JF wewe unaongoza..."nimekuchora mda sana"Hahahah wala ila mbona mshikaji wangu sana
Nimekaa naye vzr
Sema alipopata ubunge wala sikustuka
Maana alikuwa maconnection sana,humuwezi
Ova
Hahahaaaa.......haya nakunywa bhana!Leo we Muhehe umeonge point, big up kubwa. Kunywa ulanzi wa buku nitalipa.
Kapime mzeeArusha tumechakaza sana..
Ni kweli kabisa. Vyama vyote au tuseme kada ya siasa yote ndiyo imegeuka hivyo siku hizi.Hata vyama vingine ipo hiyo
Ova
Eeh mzee pisi Kali zipo kadhaa..njoo Dodoma hotel hapa tunywe wine utawaona na mawasiliano yao utapataWengi wameingia kupitia ule mgongo wa nanihii bila shaka. Kumbe ndiyo maana nchi inaenda kama gari bovu siku hizi na viongozi wanafanya wanavyotaka. Wabunge hakuna tena siku hizi.
Mama mchungaji acha wiziHata mbuzi ana mume ..mume wa mtu Nini mbona alikuwa anaishi nae?
Wapenda ngonoKumbe ndiyo maana nchi inaenda kama gari bovu. Kama wabunge ni watu wa sampuli hii tutegemee nini kutoka bungeni? Na hapo hujaweka kina Msukuma, Gwajima, Kibajaji, Tale etc. Bunge limekuwa kijiwe cha matapeli siku hizi.
Wapo wengi chain ni ndefu mzee wangu...kama na wewe umo nenda ukapimeUmemtaja Waziri mmoja wa utalii mstaafu kuwa nae alikuwa mdau!!!
220voltsOhoooooo....250Kv
Kweli kabisa. Ndiyo maana hata ile ''grid ya taifa'' inakuwamba wengi.Wapenda ngono
Simpo sana Mkuu kuwa smart tu naka Windoku pembeni wanajileta machi jioni wenyewe tu.....Du. Mbona utanifanya nifunge safari mkuu. Kumbe hata kupatikana wanapatikana? Mimi nilidhani ni waheshimiwa hata kuongea nayo ni vigumu. Pengine ukiwa tena na noti ya kutosha na gari ''linalosomeka'' unaweza kuwapanga mstari? 🤣 🤣
Kama hawaDu. Mbona utanifanya nifunge safari mkuu. Kumbe hata kupatikana wanapatikana? Mimi nilidhani ni waheshimiwa hata kuongea nayo ni vigumu. Pengine ukiwa tena na noti ya kutosha na gari ''linalosomeka'' unaweza kuwapanga mstari? [emoji1787] [emoji1787]