msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
Utatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.
Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa
FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi