....POLE DIDA najuha Unavyojisikia NOW

....POLE DIDA najuha Unavyojisikia NOW

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
379
Utatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.

Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa

FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi
IMG_20181226_192531_575.jpeg
 
LEO NIMEGUNDUA TUNAMUHITAJI KAKOLANYA,DIDA AWE KIPA NAMBVA NNE ALLY SALIM NAMBA TATU, GOLI LA TATU ALITAKIWA ADAKE KWA KUKUNJA NUSU GOTI, STUPID FAGGOT..MAMAMKEEEE
 
Kateni rufaa watani zangu!

Simba ni noma! Huwa inapigwa na vijitimu ambavyo haviko kwenye ramani ya football!
Mwaka jana Green warriors waliifanyizia Simba Kweli kweli.

Mwaka huu tena Mashujaa wamewado na wao!
 
Utatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.

Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa

FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi View attachment 978317
Kitishu kinaonekana
 
Kesho manala atawadanganya maana anawajua ni Mbumbumbu sana
 
Utatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.

Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa

FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi View attachment 978317
"najuha" ndiyo Kiswahili gani
 
Habari ndo hiyo kikosi kipana kimepanuliwa na Mashujaa
 
Back
Top Bottom