msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
HahahahahaahDaah Waha sio watu wazuri
HatariWaha wachawi
Hawamo tenaHahahahahahaaa Poleni sana 3 noma!!
Mchukueni Beno wenu.Dida ni mpuuzi kama kipa mwenzake Manula. Bora Simba isake saini ya Beno ili kusafisha huu utumbo.
Kitishu kinaonekanaUtatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.
Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa
FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi View attachment 978317
Huu ndo umbumbumbu wenyewe sasaDaah Waha sio watu wazuri
Kesho manala atawadanganya maana anawajua ni Mbumbumbu sanaKateni rufaa watani zangu!
Simba ni noma! Huwa inapigwa na vijitimu ambavyo haviko kwenye ramani ya football!
Mwaka jana Green warriors waliifanyizia Simba Kweli kweli.
Mwaka huu tena Mashujaa wamewado na wao!
Mara ya mwisho kusikia timu kutoka kigoma ikicheza ligi kuu ni liniWaha wachawi
"najuha" ndiyo Kiswahili ganiUtatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.
Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa
FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi View attachment 978317
Habari ndo hiyo kikosi kipana kimepanuliwa na MashujaaUtatukanwa Sana, utapewa maneno machafu yote ya DUNIA HII NA YASIYO ya Dunia hii.
...Ukweli mchungu Sana, Unapomuweka mchezaji BENCH Sana Anapoteza Hali Ya kujiamini.... Na haya Ndo matokeo yake.
Pia Tuwe na nidhamu ya mchezo Kwa Team ndogo na kubwa Pia.
#Hongera Sana Mashujaa
FOR ME, Man of the Match Alikuwa Mwamuzi View attachment 978317
Umbumbumbu ndio niniHuu ndo umbumbumbu wenyewe sasa