Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mapema leo ya wapi? Detroit au mbagala?
If so pole sana lady, God will do the needful katika kipindi hiki kigumu kwenu ndugu, marafiki na jamaa.
msiba umetokea Mwanza lakini bado sijui mazishi yatakuwa wapi. Kwa kadiri nilivyosikia ni kuwa ni yule rafiki wa "kufa na kuzikana" kwa hiyo ni pigo kubwa kwake.
Habari zimenifikia kuwa dada yetu FL1 amempoteza rafiki yake wa karibu mapema leo. Naomba kutoa pole zangu kwake na kwa familia ya rafiki yake huyo kwa msiba huu. Tunamwomba Mungu awafariji familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki na ailaze pema peponi, roho ya marehemu, Amina