Pole FL1...

Pole FL1...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Habari zimenifikia kuwa dada yetu FL1 amempoteza rafiki yake wa karibu mapema leo. Naomba kutoa pole zangu kwake na kwa familia ya rafiki yake huyo kwa msiba huu. Tunamwomba Mungu awafariji familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki na ailaze pema peponi, roho ya marehemu, Amina
 
Poleni wafiwa Mungu awape nguvu hasa wakati huu wa majonzi,FL1 huu ni wakati wa kumuombea marehemu apumzike kwa amani na wakati huo nasi tukisafisha njia kwa maombi kwani hatujui siku wala saa.
 
Mapema leo ya wapi? Detroit au mbagala?
If so pole sana lady, God will do the needful katika kipindi hiki kigumu kwenu ndugu, marafiki na jamaa.
 
pole sana FL1, Mungu akutie nguvu
 
Tunamtakia moyo mkuu ulio wa milele aweze kuyashinda magumu hasa wakati huu wa majonzi!
 
poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu
 
Mapema leo ya wapi? Detroit au mbagala?
If so pole sana lady, God will do the needful katika kipindi hiki kigumu kwenu ndugu, marafiki na jamaa.

msiba umetokea Mwanza lakini bado sijui mazishi yatakuwa wapi. Kwa kadiri nilivyosikia ni kuwa ni yule rafiki wa "kufa na kuzikana" kwa hiyo ni pigo kubwa kwake.
 
msiba umetokea Mwanza lakini bado sijui mazishi yatakuwa wapi. Kwa kadiri nilivyosikia ni kuwa ni yule rafiki wa "kufa na kuzikana" kwa hiyo ni pigo kubwa kwake.

Can feel it man hope sio kwenye ajali ya am.
 
This make me think! We t all into that.
FL1 tuambie kama vipi hata kama tupo .bali!
 
Pole sana FL1 na wafiwa wote! Mungu awatie nguvu, tuko nanyi pamoja katika Maombia! Raha ya Milele uwape ee bwana
 
Habari zimenifikia kuwa dada yetu FL1 amempoteza rafiki yake wa karibu mapema leo. Naomba kutoa pole zangu kwake na kwa familia ya rafiki yake huyo kwa msiba huu. Tunamwomba Mungu awafariji familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki na ailaze pema peponi, roho ya marehemu, Amina

Dah!
Ngoja niingie hewani shortly!!!!
Pole sana FL1!
 
Back
Top Bottom