Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
msiba umetokea Mwanza lakini bado sijui mazishi yatakuwa wapi. Kwa kadiri nilivyosikia ni kuwa ni yule rafiki wa "kufa na kuzikana" kwa hiyo ni pigo kubwa kwake.
Too Bad!Habari zimenifikia kuwa dada yetu FL1 amempoteza rafiki yake wa karibu mapema leo. Naomba kutoa pole zangu kwake na kwa familia ya rafiki yake huyo kwa msiba huu. Tunamwomba Mungu awafariji familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki na ailaze pema peponi, roho ya marehemu, Amina
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe zaidi
Nashukuru sana Mwanakijiji kwa bandiko lako lakini sijui hizi habari umezipata wapi ..
Dunia hii kwasasa ni ndogo sana!...huh!Nashukuru sana Mwanakijiji kwa bandiko lako lakini sijui hizi habari umezipata wapi !
Dah pole sana FL1 tupo pamoja katika hiki kipindi kigumu mwenyewe nimepoteza rafiki wa mchumba angu humo humo. Lihimidiwe jina la bwana. Amina.
usiwe na shaka.. ka"nzi" huwa kanajali pia; kundi zima limeinamisha vichwa pamoja nanyi wakati huu.