Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
hivi shem unaweza kuwa na msiba na umenyamaza hivihivi tuu?
Nilikuwa kwenye mikakati ya mazishi ajali ya jana ile we acha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi shem unaweza kuwa na msiba na umenyamaza hivihivi tuu?
Habari zimenifikia kuwa dada yetu FL1 amempoteza rafiki yake wa karibu mapema leo. Naomba kutoa pole zangu kwake na kwa familia ya rafiki yake huyo kwa msiba huu. Tunamwomba Mungu awafariji familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki na ailaze pema peponi, roho ya marehemu, Amina
Nilikuwa kwenye mikakati ya mazishi ajali ya jana ile we acha tu.
what do you mean? kwani hii ndio ajali nilosikia jana imetokea mwanza?Dah pole sana FL1 tupo pamoja katika hiki kipindi kigumu mwenyewe nimepoteza rafiki wa mchumba angu humo humo. Lihimidiwe jina la bwana. Amina.
what do you mean? kwani hii ndio ajali nilosikia jana imetokea mwanza?
Dah! Wifi yetu tena?Yaani wifi yenu kapoteza rafiki yake alikuwa anaenda MZ kwenye hilo basi la jana jioni linaitwa A.M coach.
Dah! Wifi yetu tena?
RIP our wifi!
Ahaa! Ngoja nimpigie anambie ni wifi yetu yupi aliyempoteza rafiki yake. Usisahau anao sita anaowafanyia mchakato kwa ajili ya projekti ya 2012.jamani nawe...kasema wifi yetu kapoteza rafiki yake...kwa nini hutaki kumuelewa shem langu lakini?
Sasa mkwe mbona hujamwaga dua kama ile ya siku ile? Nakumbuka neno moja tu rajjun! Mtoto inaelekea madrassa ilipata gradueti wa first class. BTW Unaendeleaje na ile projekti yetu?poleni sana..FL1 na familia ya rafikiyo.... njia yetu sote. kila nafsi itaonja mauti. stay strong
Ahaa! Ngoja nimpigie anambie ni wifi yetu yupi aliyempoteza rafiki yake. Usisahau anao sita anaowafanyia mchakato kwa ajili ya projekti ya 2012.
Nashukuru sana Mwanakijiji kwa bandiko lako lakini sijui hizi habari umezipata wapi ...Ni kweli nimeondokewa na mpendwa wangu wa moyo alikuwa ni rafiki yangu wa karibu,alikuwa ni ndugu yangu alikuwa ni kila kitu kwangu lakini mwenyezi mungu kampenda sana na kumuita kwa muda aliomuhitaji yeye..Najua wote hapa duniani tu wapitaji ..ni vyema tuwe tayari kila saa na kila siku kwani hatujui siku wala saa
naona ni jinsi gani mnanipenda na kunijali..kwa sasa sitaongea kitu chochote msiba utakuwa mwanza ..sina uhakika kama itakuwa kesho ..lakini nitawafahamisha itakavyokuwa
Nawapenda wote
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe zaidi