Pole Flora Mbasha siku zote katika Mfumo dume Mwanamke hana haki.


Napata tabu sana, km hal ikielekea hvi hli ltakuwa c jukwaa la great thinkers tena, ss we wifi ake na frola unamlazmisha nan aamin unachowaza ww, evryone has his or her own way of thinking, judging na kuelewa jambo, na c kla m2 huishia kuangalia upande mmoja na kuishia kutapita fyongo kwny jukwaa muhim km hli, you guys hebu achen kufanya wote 2onekane ma ziro brain humu ndan kwa ajil ya ubongo lala wenu
 
SIKILIZA WEWE mleta mada ni kweli una haki ya kuandika unachokiamini lakini kuna wakati kabla hujaanza kuandika unafikili sana pengine ingekuwa ya vichekesho ungeenda jukwaa la jokes...POTEA!!!!!!
 

We umetumwa kuja kutuzingua sio! we neenda huko.
 
Watumishi wa Mungu sio dunia hii tuishio binadamu, labda kwingineko. Lol! Never trust anybody in this world.
 

mmmmmh!!!!
 
kabla ya kuingia kwenye mada naomba kufahamishwa machache wakuu..huyu mdogo wake frola mbasha aliyebakwa ndo yule ambae sex tape yake aliyocheza na mrisho ngassa ilivuja??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…