Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Pole Flora!Inauma kusikiliza mdogo wako akikuelezea mumeo alivyo mbaka,si kumbaka tu hata kusikia ametembea na mdogo wako tu kwa kukubaliana naye.Binafsi nakupongeza kwa kututhibitishia wenye akili kwa ujasiri wa kupeleka kesi polisi na mwishowe mahakamani,naamini kama ulihusika uliamua hivi kwasababu ya kujiamini na ndio maana mhusika alikimbilia mafichoni akaogopa kujitokeza,Ila bahati mbaya kaamua kutumia Propaganda za Gwajima kwa ushahidi usio na mashiko kuondoa tu watu kwenye Mstari wa kujadili ubakaji na kama kawaida ya Watanzania kwa propaganda kakushinda na watu wameamini Gwajima anataka kumfunga kwa ajili yako,kwa akili ya kawaida Gwajima hana njaa ya wanawake kiasi hicho hadi afikie kumfunga mumeo mimi sio muumini wa hili,Pole Flora usijisikie kuumia zaidi yote ni majaribu yatapita wenye akili bado tupo na wewe tunaelewa ulipo,Wanawake wa JF muungeni mkono mwenzenu katika hili pls inauma sana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums