Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 May 17, 2021 #21 Kambaku said: Sio inawezekana, ni makiki yake hayo kujaribu kuficha aibu Click to expand... Asizimie Mo mwenye hela yake au huyo Barbara wake aje azimie Mwarabu wa Nguruka?
Kambaku said: Sio inawezekana, ni makiki yake hayo kujaribu kuficha aibu Click to expand... Asizimie Mo mwenye hela yake au huyo Barbara wake aje azimie Mwarabu wa Nguruka?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 May 17, 2021 #22 Huyu nae anaenda kutuaibisha huko, kama anajijua ana kifafa si atulie nyumbani, asipoangalia iko siku atakufa kabisa.
Huyu nae anaenda kutuaibisha huko, kama anajijua ana kifafa si atulie nyumbani, asipoangalia iko siku atakufa kabisa.
V victory02 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 1,159 Reaction score 1,586 May 17, 2021 #23 Katika watu ambao wananifanya nizidi kuichukia Simba ni hili lijamaa
Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 May 17, 2021 Thread starter #24 Watu Wamekuja na Kiki Ya Kuzimia Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sosoma Jr JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 312 Reaction score 281 May 18, 2021 #25 Mpira una maajabu yake baada ya kumaliza dakika 90 unayaona na sio maneno maneno sasa tusubiri tena dakika nyingine tisini tutaona maajabu ya huu mpira kwa mkapa!!
Mpira una maajabu yake baada ya kumaliza dakika 90 unayaona na sio maneno maneno sasa tusubiri tena dakika nyingine tisini tutaona maajabu ya huu mpira kwa mkapa!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 May 18, 2021 #26 Kambaku said: Mara 4 au mara 2? Click to expand... Kikubwa tu ni kwamba kazimia kweli
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 May 18, 2021 #27 Anapenda sana PUBLIC SYMPATHY huyo Jamaa Sibonike said: Inawezakuwa kiki zake tu. Click to expand... Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Anapenda sana PUBLIC SYMPATHY huyo Jamaa Sibonike said: Inawezakuwa kiki zake tu. Click to expand... Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app