Pole Haji Manara kwa kuzimia mara 4 huko SA

Pole Haji Manara kwa kuzimia mara 4 huko SA

Huyu nae anaenda kutuaibisha huko, kama anajijua ana kifafa si atulie nyumbani, asipoangalia iko siku atakufa kabisa.
 
Watu Wamekuja na Kiki Ya Kuzimia Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpira una maajabu yake baada ya kumaliza dakika 90 unayaona na sio maneno maneno sasa tusubiri tena dakika nyingine tisini tutaona maajabu ya huu mpira kwa mkapa!!
 
Back
Top Bottom