Pole Irene Uwoya kwa majonzi mazito sana, Ila wadau Hatujaona Support Ya Dogo Janja

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154

Pole Irene Uwoya Upate Nguvu ya kuyashinda Majonzi.

Tanzania ilizipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana Katauti ambapo mazishi yake yaliyafanyika siku hiyo hiyo kutokana na sheria ya dini yake ya kiislamu.

Marehemu aliwahi kucheza soka Tanzania akiwa na Stand United na ni Mume wa zamani wa Mwigizaji Irene Uwoya na wana mtoto mmoja.
 
R.I.P Ndikumana.
 
Dogo Janja anahisi ni zamu yake hawezi kuwa na raha hata siku moja
 
Dogo janja Sasa atajimegea
kwa raha mustarehe
 
When Diamond took Zari, Zari's former husband died,
When Dogojanja took Irene Uwoya, Uwoya's former
husband died, so the theory states that;

"The the death of a former husband is directly
proportion to the betrayal by his woman provided
the woman is taken or married by another man younger
than the woman herself when celebrity is kept constant"
 
Kama Irene alifanya yote aliofanya ili kumuumiza Ndikumana ni kweli amefanikiwa
RIP Kataut
 
Pole Irene Uwoya Upate Nguvu ya kuyashinda Majonzi.

Tanzania ilizipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana Katauti ambapo mazishi yake yaliyafanyika siku hiyo hiyo kutokana na sheria ya dini yake ya kiislamu.

Marehemu aliwahi kucheza soka Tanzania akiwa na Stand United na ni Mume wa zamani wa Mwigizaji Irene Uwoya na wana mtoto mmoja.

Ulitaka uone kwa njia gani labda?
 
When Diamond took Zari, Zari's former husband died,
When Dogojanja took Irene Uwoya, Uwoya's former
husband died, so the theory states that;

"The the death of a former husband is directly
proportion to the betrayal by his woman provided
the woman is taken or married by another man younger
than the woman herself when celebrity is kept constant"
Umenichekesha sana.
Kuna mtu aliniambia kuwa wanawake uwa wana imani kuwa wanaume tutangalia kufa kabla yao.
 
When Diamond took Zari, Zari's former husband died,
When Dogojanja took Irene Uwoya, Uwoya's former
husband died, so the theory states that;

"The the death of a former husband is directly
proportion to the betrayal by his woman provided
the woman is taken or married by another man younger
than the woman herself when celebrity is kept constant"
duuh
 
Back
Top Bottom