Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Tuma hiyo pole kwa Jacky Pvt msg atakuweo humu.
Mkuu usijali sana, hayo mambo hata wewe utayasahau tu
Kweli Mkuu kila kitu uwa kijakuja na kinapita...na tunayasema ili iwe funzo kwa wengine.
Mama ni mzuri kwa mwanae,ila ukitaka uniamn muulize mama vizur kuhusu sifa za hao wajomba zako....Nakataa katukatu,mama yangu ni mututsi na sijaona ubaya wake
Mimi nawaona wote wana roho nzuri sanaMama ni mzuri kwa mwanae,ila ukitaka uniamn muulize mama vizur kuhusu sifa za hao wajomba zako....
Alafu ukute watutsi mia moja ,ila wenye roho sf n wa 5, hapo unasemaj mkuu,hao watano si watakuwa wamemezwa.
HahahaaaaMsemo mpya umenipa leo , mzee mama
Inahuzunisha afu mtu haya mambo yasikie tu kwa mwezio yasikukute