Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Asante kunielewesha
Hamna anayemuua mtu, sema wanasingiziwa Sana cause ikitokea kifo kikatokea mwanamke wa kichaga hawez kukubali kudhulumiwa Mali na mashemeji au yeyote, na wakishanyimwa ndo wanaanzaga kusingizia mtu ameua.
 
Mambo ni mengi ila yamepishana kwa kamuda katoko

Kuna mpasuko mpya mjini. Yani leo kumetokea kupatwa kwa mwezi na picha za mchana zinaonyesha giza. Mfano ni hii
9ea6f3e7f04d835a45a2a10b2ad2fc4b.jpg
 
Ni kweli hatukatai lakin tunachopinga ni hawa watu kueneza habar ambazo hawana uhakika kwa maslahi yao wanayoyajua
Najiuliza tu hivi angeanza kufa k huu ufukunyuku na uzushi ungekuwepo?


Kwa watanzania wasingekosa kusema, pengine hata wewe (freshgirl) ungesema una uhakika kuwa K aliuwawa na Mengi baada ya kuona ana tamaa sana ama anamfirisi, uwongo?
 
Zitaletwa picha nyingi hapa ila unakuta wanaotunga story ukute hawana hata mia
Huwa nasema sisi waafrika aina ya maisha tunayoishi huenda kuna nyaya zilikatika kwenye ubongo wakati tunaumbwa. Uwezo wetu kifkra kwa walio wengi upo chini sana.
 
Hao watu wanatabia zao za kipekee,husitokee ujamwamn hata kama umeishi nae mpk uzeeni,husishangae akakupndua uzeen8

Watutsi nawajua vizur kulko wao wanavyojijua
Nakataa katukatu,mama yangu ni mututsi na sijaona ubaya wake
 
Ni full shangwe moyoni kwake, ma-handsome boys waanze kujinoa tu, mlimbwende ni single mother sasa..Na bado analipa...
 
Maneno kama hayo yanayosambaa kama huna moyo wa chuma yanaumiza sana, inatakiwa uwe fedhuli wa roho mbaya kuweza kuyahimili, sijui Dada Jacky yupo kwenye hali gani kwa sasa, Mungu amzidishie kuwatia moyo wafiwa, time will tell


Tatizo ni picha alizopiga na mwarabu wake na wapo Gizani tena maeneo ya hotel in na wanaonekana wachovuuu wamechokaa....wabongo tuache kuishi kinafiki....Story zote zishaanikwa humu..
 
Back
Top Bottom