She loves Me
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 809
- 939
Kuna mambo madogo madogo tu huku uraiani au sehemu za kazi ukisikia yanaongelewa kuhusu wewe na ikiwa ni uongo huwa yanaumiza sana, sasa kwa makubwa kama hayo ya Jacky je, sema Mungu ametupa binadamu usahaulifu hata hao wanaosambaza nao watasahau
Yaani wewe kwa ufukara wako na wivu wako unafikiri kila mtu ana dhiki kama za kwako?
Embu lete hoja nyingine, kama huna kalambe lolo tu.
Hilo la pesa kama kuna shida nenda kawaulize wahusika.
Punguza mihemko weka takwimu mezani watu wajadili na siyo kuongea kama umekalia kitu kilaini..... Huyo Jack tukisema yeye ndiyo aliye muua mzee tutakuwa tunakosea?Umaskini na wivu ni sumu mbaya sana tuliyonayo watanzania,,,
wachaga kutokana na tabia yao mbaya ya kuua waume zao wanahisi na wanawake wa jamii nyinginezo tuko hivyo
Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Unangaika humu ooh kusemwa vibaya sijui kitajulikana sasa huo upuuzi wanini kwa mwanaume?
Kwa da Mange muongo
Punguza mihemko weka takwimu mezani watu wajadili na siyo kuongea kama umekalia kitu kilaini..... Huyo Jack tukisema yeye ndiyo aliye muua mzee tutakuwa tunakosea?
Yaan kikitokea kifo waswahili lazima tutafuta mchawi nan
Hakika bila shaka jack na mzee mengi walikuwa na mapenzi ya dhati walipendana kiukweli hawez kufanya upuuz huo wanaoufikiria hususan kwa baba wa watoto zake kama angefanya hivyo hiyo dhamb ingemsuta maisha yake yote.angeiweka wap sura yake anapokuwa na watoto zake.Acheni uzushi
Binafs bado nilikuwa nayaona mapenzi ya dhati ya jack kwa mzee mengi hata kama angefilisika naamin angeendele kumpenda kwa dhati
Binadamu tusipende kuzua mambo tusiokuwa na hakika nayo. Fitina ni jambo baya sana haswa katika mahusiano ya watu.watu weng walikuwa wanamuonea husda jack kupendwa na mengi na baada ya kutokea hiki kifo wanataka kuzidhihirisha kwa waz husda zao zilizokuwa zimejificha
Justice will prevail
Be strongView attachment 1088944
looh hadi zama hiz bado unajifaharisha kwa ukabila wako? pole aisee hujielewWatusi mnaangaika sana.
"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.
Naona anatetea Mtusi mwenzake.
Wachagga Siku zote Tupo macho.
Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.
Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.
Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Mzee kama yule hawezi mridhisha binti kama yule hata ale nini mkuu, Hata akila dawa ya kuchelewa kukojoa nguvu ya mwili ya pamabano atakosa. Pale ni kuridhishana tu, Bwana kafata lake na bibi kafata lake.
Nakuunga mkono kwa 100%. Ungekuwa karibu ningekupa kazawadi kukutolea kaubaridi ka mvua.Kwenye jamii yoyote wamo wema na wabaya
Unatukana watusi na kutukuza uchaggaWatusi mnaangaika sana.
"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.
Naona anatetea Mtusi mwenzake.
Wachagga Siku zote Tupo macho.
Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.
Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.
Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Kitajulikana ndiyo.
Kwani IGP si ndiyo kasema?
Unaweweseka nini wewe mende?
Sasa ulitaka iweje?
Kwamba madai yasichunguzwe?
Mwambie aliyekutuma kuwa umetukuta
Kishoia mkubwa!
PumbaaavSasa kama wanaua, kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria?
Serikali haioni?
Acheni uzushi.
Huyu Malaya wa ki2si lazima anyooshwe nyoko ninyi
Unataka stress zetu za ugumu wa maisha tuzitolee wapi. Ni mwendo wa kudandia mambo yasiyotuhusu hadi kieleweke. [emoji23]...... Natania. Fanya uje utusimulie isidingo bna.Wale waliokua wanamuita bosslady leo ndo wa kwanza kumtupia mawe aiseeee
unafikiri watanzania wote wanapenda umbeya kama wewe? labda uungane na wambeya wenzioThread yako hii haiwezi kuzima ukweli uliopo. You will be shocked. Tanzania tutaungana wote KUHAKIKISHA ukweli umesimama. Hivyo kama Jack is inoccent itathibitishwa. Kikosi kazi kiko kazini. Tusubiri.
Ujasusi una mbinu nyingi mno.
ni kweli Mungu amsimamie anapitia kipind kigumu sana
yaani mtu umefiwa na kipenz chako kisha mpuuz mmoja anataka kuaminisha watu una mkono katika hiko kifo
inaumiza sana