Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Wacha porojo wewe tafuta pesa zako nawewe uje uzungumzwe ukifa, unajificha kwenye pesa za kidume mwenzio? oooh tuko imara blah blah sijui jamii tafuta mkwanja wako hayo majungu achia wanawake mbaaf
namshangaa aisee anavyoshupalia utadhan alikuwepo Dubai
 
Kumbe unaijua ladha ya kitu laini!!!

Hahahahaha nimegusa penyewe mmebaki kujionyesha upumbavu wenu wanaume mnapotumia matusi kumjibu mwanamke!!!!
Punguza mihemko weka takwimu mezani watu wajadili na siyo kuongea kama umekalia kitu kilaini..... Huyo Jack tukisema yeye ndiyo aliye muua mzee tutakuwa tunakosea?
 
wewe ndo una povu na ushabiki wako maandazi
 
Wewe mjinga nini! unaleta uchawi kwenye koo ya watu matajiri? nani alikwambia wanafanya mambo hayo? Wewe ndio yule jamaa pastor Mboro? mbaaf
ndo wale wale hao wanaoamini dunia hii kuna binadamu anaweza akafufua maiti na tena akishaona faster anaenda IG kupost
 
Ukiwa na akili kubwa raha sana, nadhani umeona makusudi yangu yalivyofanya wanaume wenzenu kumwaga radhi hadharani!!!

Katika watu wasiopenda kujadili madhaifu ya kikabila mi ni mojawapo,,, nimejaribu tu kidogo kusema baya moja tu la wanawake wa kichaga maana tangu mzee afariki imekuwa ni matusi na dhihaka kwa makabila flani flani
Kwa taarifa tu.
waafrika tunabaguana zaidi wenyewe kwa wenyewe kuliko hata tunavyobaguliwa na races nyingine.
 
I love you for that.
 
Hahahha kiherehere grade 1, sasa hiyo si ishu ya familia na ukoo wa Mzee Mengi wewe kunguni unahusika vipi? Unaumia vipi? hivi wewe ni mwanaume wa kawaida au gasho?

Una unatakaje sasa?
 
Mimi nilidhani tayari report imetoka na kuonyesha hakuna chochote kilichotendeka dhidi ya mzee. Kumbe hata wewe unadhani tu!!. Binadamu ni MTU mwenye siri mno moyoni uwezi kumtambua kwa kumtazama.
 
Mimi nilidhani tayari report imetoka na kuonyesha hakuna chochote kilichotendeka dhidi ya mzee. Kumbe hata wewe unadhani tu!!. Binadamu ni MTU mwenye siri mno moyoni uwezi kumtambua kwa kumtazama.
 
Hili ni mlya la kihaya.

Money Penny analijua vizuri.

Linakera sana na kauli zake za kibaguzi.

Ngoja nitafute ule uozo wake niweke hapa
Ngoja tuzike mchaga Mwenzangu kuanzia alhamisi au ijumaa Instagram patawaka Moto
Huyo mwandika Uzi kazaliwa Miaka ya 90 mpaka 2000 anamjua vipi anti WA kigoma?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Skunyingine usinitag manyuzi ya namna hii plz am mourning now
Cc: 50thebe Smart911 mahondaw
 
Hivi Madam jack alishinda Miss Tz mwaka gani vile ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…