Pole mama kanumba kwa matusi ya Lulu

mwanahabari93

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
263
Reaction score
170
Nimesikitika sana jana nilipokuwa namsikiliza mama kanumba akiwa anahojiwa na kwisa na soudy brown katika kipindi cha shilawadu...akidai kuwa Lulu alishawahi kumuita "kubwa jinga" na pia kufanya party kipindi cha mahazimisho ya kanumba ...na pia amekuwa na tabia yakuto kumsalimia...Pole mama kanumba na msamehe Lulu ...mama kanumba pia alifunguka zaidi akasema kama angekuwa jaji angetoa hukumu ya miaka mitano au kumi..

Amedai pia kuwa hana shida ya vihela vidogovidogo kutoka kwa msanii yeyote kwan anaweza kumudu maisha yake mwenyewe kwahyo wasimfikilie vibaya na hana shida na hela zao

Lulu ulimkosea mama kanumba kama kweli ulimuita kubwa jinga yule ni mzazi wako na pia mama kanumba yakupaswa umsamehe mwanao
 
Kwanini kanumba alimchezea mtoto mdogo lulu?kanumba alikuwa na miaka 26 na lulu alikuwa na miaka 14? Mwenyezi Mungu amtendee haki yake ya kule kushoto.



Swissme
 
Kwanini kanumba alimchezea mtoto mdogo lulu?kanumba alikuwa na miaka 26 na lulu alikuwa na miaka 14? Mwenyezi Mungu amtendee haki yake ya kule kushoto.



Swissme
Du 14?chumvi imezidi
 
Huyu mama Lulu alikuwa ni mkwe wake?! Anavyolalamika utafikiri jamaa alichumbia au alikuwa ameoa kabisa. Amwache mtoto wa watu.
 
Lulu alifanya party katimiza miaka 18 kbl kanumba hajafa,Lulu alidate na wanaume wengine kbl ya Kanumba akiwemo Kiba
Kanumba alikua anaenda mpk kwa mama Lulu
Na mshasikia Lulu alijitetea alikua na uhusiano na Kanumba miezi 4 kbl hajafa
Sasa kuna watu wanaleta uteam Lulu hapa
Jaji aliona kbs kuna tatizo na ndio maana alimuhukumu miaka 2
 
Lulu ni shida umri mdogo alishayajua ya wanaume alianza kiherehere mapema hivi mwanaume akimtaka mwanamke lazima akubali kama umri ulikuwa mdogo angeweza kuwahusisha wazazi kuhusu kanumba kumfuata au hata kwa waalimu wake sioni kosa la kanumba kosa ana lulu pengine yeye ndio alianza kumchokonoa mwenzie....toto za new generation ni shida chini kunawasha mapema mno na hawawezi kuifumulia hadi wakakunwe
 
Kwanini kanumba alimchezea mtoto mdogo lulu?kanumba alikuwa na miaka 26 na lulu alikuwa na miaka 14? Mwenyezi Mungu amtendee haki yake ya kule kushoto.



Swissme
Duuuh ndugu yangu una data zilizokamilika au ndo according to ur social of context....??
 
Tuna uhakika gani na maneno ya huyo mama Kanumba? Tumesikia one side of the story.. Lulu aachwe aishi maisha yake bwana hakuwa ameolewa.. Atunzwe atunzwe afanye kazi huyo mama apate pesa
 
Binafsi sioni mashiko ktk mjadala huu wa familia hizi, sana wanaouamsha mjadala huu ni kwa manufaa yao, wauze magazeti, wapate wafuasi ktk mitandao yao na vipindi vyao iwe ktk radio au tv huku wakitengeneza chuki na kuikuza baina ya familia hizi na kufufua machungu yaliyokwisha kusahaukika.
Hakuna faida kwa familia zote mbili wala walengwa Kanumba na Lulu, yaliyotendeka yameshatimia tujifunze kujenga badala ya kubomoa.
 
Umeongea nilichokuwa nakiwaza siku chache zilizopita kwamba inawezekana kabisa mama Lulu alikuwa anafahamu mahusiano yao kabisa na alikuwa ameyakubali ila baada ya kutokea haya anajifanya mgeni
 
Lulu ni mtata!lakini Kanumba ni zaidi,kufa na afe tu. Usikute hata kale ka Jennifer alikuwa anajimilikisha. Sasa huyo mama ashukuru tu mwanae keshakufa kwa ubazazi wake anavyolialia ni kama vile Lulu ndiye alimlazimisha huyo mwanawe!tcha.
 
Lulu ni mtata!lakini Kanumba ni zaidi,kufa na afe tu. Usikute hata kale ka Jennifer alikuwa anajimilikisha. Sasa huyo mama ashukuru tu mwanae keshakufa kwa ubazazi wake anavyolialia ni kama vile Lulu ndiye alimlazimisha huyo mwanawe!tcha.
[emoji51] [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…