mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Nimesikitika sana jana nilipokuwa namsikiliza mama kanumba akiwa anahojiwa na kwisa na soudy brown katika kipindi cha shilawadu...akidai kuwa Lulu alishawahi kumuita "kubwa jinga" na pia kufanya party kipindi cha mahazimisho ya kanumba ...na pia amekuwa na tabia yakuto kumsalimia...Pole mama kanumba na msamehe Lulu ...mama kanumba pia alifunguka zaidi akasema kama angekuwa jaji angetoa hukumu ya miaka mitano au kumi..
Amedai pia kuwa hana shida ya vihela vidogovidogo kutoka kwa msanii yeyote kwan anaweza kumudu maisha yake mwenyewe kwahyo wasimfikilie vibaya na hana shida na hela zao
Lulu ulimkosea mama kanumba kama kweli ulimuita kubwa jinga yule ni mzazi wako na pia mama kanumba yakupaswa umsamehe mwanao