Leo amegeuka shikorobo sio shiboub tenaWapi alshibobu Leo
Kageuka ShoromwambaWapi alshibobu Leo
Tulia uandike vzrSimba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Simba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Bara ndio nn mkuu au mzuka?Simba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Walikuwa wanashangilia kabla ya kaziMpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini kwetu wapenzi halisi wa mpira,maumivu km haya hutokea kila msimu.Simba tulieni,hakuna wa kulaumiwa si kocha wala wachezaji. Karibu sn matopeni mjiandae msimu ujao. Wanaume tumerudi kwenye kiti chetu. Hahaaaa
Ingependeza mechi inayofuata ingekuwa simba na yanga...Simba kutolewa kwenye mashindano haiondoi ukweli ya kwamba simba ni bara kuliko yanga.
Bwa shemeji long time no seeUbora wake kivipi??
Hivi yule jamaa mwenye sura ya ajabu kagere alikuwepo uwanjani!?Dah! Bado siamini kama mnyama ametolewa kikatili vile! Alijiamini kwa 1000% kabla ya mchezo kumchakaza mpinzani wake kwa kipigo kizito! Bahati mbaya madogo nao waliwasoma vilivyo, hivyo wakaamua tu kuchomoa betri tangu dakika ya kwanza ya mchezo, na hivyo kuwapoteza kabisa wenyeji. Pole nyingi ziwafikie mbumbumbi fc.
Hivi yule jamaa mwenye sura ya ajabu kagere alikuwepo uwanjani!?