Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Tatizo akina Okwi, Kotei na Niyonzima hawakuwa sehemu ya timu jana. Wangekuwepo hao wanaume Simba angepindua meza.Kitu walichofanya Township rollers Kwa mkapa ndicho walichofanya UD songo.DK za mapema wafanye yao.Tofauti ya Yanga na simba.Yanga tulivyofungwa dk 8 hatukupanik tukatulia kusawazisha. Mapema tukapata mkwaju tukakosa.tukasawazisha mwishon.wenzetu simba walipofungwa wakapoteana.kila mtu akawa anacheza kwa uwezo binafsi.Hatimaye wakasawazisha kwa mkwaju mwishoni kama sisi.Bila shaka walijua watavuka kama walivyofuka kwa nkana mwaka jana.