Pole mtani,Mpira si Mbwe mbwe ni mbinu sasa na wewe ni Matopeni FC

Kitu walichofanya Township rollers Kwa mkapa ndicho walichofanya UD songo.DK za mapema wafanye yao.Tofauti ya Yanga na simba.Yanga tulivyofungwa dk 8 hatukupanik tukatulia kusawazisha. Mapema tukapata mkwaju tukakosa.tukasawazisha mwishon.wenzetu simba walipofungwa wakapoteana.kila mtu akawa anacheza kwa uwezo binafsi.Hatimaye wakasawazisha kwa mkwaju mwishoni kama sisi.Bila shaka walijua watavuka kama walivyofuka kwa nkana mwaka jana.
Tatizo akina Okwi, Kotei na Niyonzima hawakuwa sehemu ya timu jana. Wangekuwepo hao wanaume Simba angepindua meza.
 
Mkuu unaanzaje kusema haya wakati kikosi hiki tulichosajili tumeambiwa ndo cha kimataifa cha kupambana na akina al ahly na mazembe? Je ina maana unataka kupingana na uongozi wa timu
 
Mkuu tangu mwanzo sikuafiki huo usajili wao. Ndio maana nasema hayo!
 
Waambie pia FA wapo Mashujaa na Green Worriors wanawasubiri.
Mpira unadunda,mpira sio mbwembwe ,mpira ni mbinu.Simba wamecheza vzr sn lakini mwisho wa siku katolewa.Hatua hii ya mtoano ni hatua katili sn. Leo watu watatukana na kusema meeengi sn lakini kwetu wapenzi halisi wa mpira,maumivu km haya hutokea kila msimu.Simba tulieni,hakuna wa kulaumiwa si kocha wala wachezaji. Karibu sn matopeni mjiandae msimu ujao. Wanaume tumerudi kwenye kiti chetu. Hahaaaa
 
Subirini "mtange tange angani" mara paaa,mnarudi mlipotoka na kusubiri "viti maalum" tena!Lwandamila anawacheki tu.
 
Back
Top Bottom