Pole mwenyekiti kukamatwa kwa ndege ni mwanzo tu bado suala la Kabendera

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.

Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
 
Yaan Ramaphosa kamtosa mwenyekiti mchana kweupeee!!
Nasikia na yeye anajipapatua na kashfa ya rushwa!!!!

Hatari tupu.
 
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.

Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]masinichi yapo tu hayakosekani ni mengi mno
 
Naipenda sana Tanzania ila hawa watawala wanazingua sana. Wanafanya vitu kwa ujinga hadi inafikia wakifeli tunafurahia. Wanatuona sisi kama sio watu. Wangekuwa na uwezo wangetuua wote ili wabaki wao wafanye watakalo
Aiseee!
 
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.

Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
Acha kuomba dua mbaya wewe mnafiki kabisa. Lazima hii nchi iendelee mtake msitake, mfe muwe hai hii nchi lazima kila mtanzania awe na maisha bora.
 
Sema mahakama za SA ziko very strong, Jiwe Ramaphosa hapeleki pua yake kule.
Mambo ya kuhifadhi miili ya watu wa SA kule Mazimbu hayaingiliani na deni husika.
Sisi tunakwama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…